evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Ni kweli Mimi ni layman wa mambo ya laboratory.Umehoji kilayman I can tell ulivoongelea Habari za MSD na wewe ni layman unakataa nini?
Ila nimewasiliana na maguru wa hiyo fani wameniambia matumizi ya kit au dawa zilizoexpire ni makosa makubwa kwenye fani ya utabibu