Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hivi wanyamwezi wana wivu wa mapenzi kama wangoni?
Mbona umemjibu kwa jazba mkuu?Kwa hiyo mtu akiishi Tabora ni Mnyamwezi? Pumbavu
Amendika utoto sana.Mbona umemjibu kwa jazba mkuu?
Anakuja sasa hivi, 🤣🤣🤣🤣
Kabisa'Domestic violence'.....misingi ya kifamilia inapoharibika ni hatari kwa kila mmoja.
Pumbavu!Amendika utoto sana.
NAKAZIAAcha wauane, tulishawaambia
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
LINDA AFYA YAKO YA AKILI
Kweli Kuna watu wanakuja tu wanajibu watu ovyoo hata Mimi mtu kaja kanijibi vibaya mpake asikuzoeeAmendika utoto sana.
Matusi hayata noga Sasa!!Tafadhalini munapotukanana musiingize wazazi kwenye matusi yenu.