bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Watukanane wenyewe tuMatusi hayata noga Sasa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watukanane wenyewe tuMatusi hayata noga Sasa!!
Bibi wajukuu zako tukinywa Visungura Huwa ubongo unaenda likizoTafadhalini munapotukanana musiingize wazazi kwenye matusi yenu.
Hebu mutuhurumie kidogo. Wenyewe tumekaa na babu yenu bukheri tunapunga upepo mara anakuja kijana kukuonyesha jinsi ulivyotukanwa kwenye mtandao kwa kosa ambalo hata huelewi limetokea wapi.Bibi wajukuu zako tukinywa Visungura Huwa ubongo unaenda likizo
Bibi mti unaokupa kivuli si ajabu kukuangushia nyoka.Hebu mutuhurumie kidogo. Wenyewe tumekaa na babu yenu bukheri tunapunga upepo mara anakuja kijana kukuonyesha jinsi ulivyotukanwa kwenye mtandao kwa kosa ambalo hata huelewi limetokea wapi.
Unaishia kupata mshtuko wa moyo bure tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inategemeana na nguvu ya ugomviTafadhalini munapotukanana musiingize wazazi kwenye matusi yenu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji857][emoji857][emoji857]Wanaume wa humu wanastress sana,imagine mtu kusema wandengereko ni wavivu kama wagogo mtu anatokwa na maneno kiasi kile,Mungu tuhurumie
Utajibiwa vibaya kama una andika upupu wa [emoji90][emoji90][emoji90] otherwise utajibiwa vizuri tuKweli Kuna watu wanakuja tu wanajibu watu ovyoo hata Mimi mtu kaja kanijibi vibaya mpake asikuzoee
Kuna kitu huyo dada alifanya sio burebure mshahara wake ndo huo sasaUkishaona mtu hamuelewani ,fanya maamuzi .
Nasikitika wanawake ndio wahanga wa kitu kinachoitwa matokeo ya wivu wa mapenzi.
Toka zamani yapo mengi, ni kwamba siku hizi kuyaficha ngumu sana sababu ya utandawazi..Duh mbona mauaji yamekuwa mengi sana kwa wapendanao?