Tabora: Mwanaume amuua Mke wake na kuhukumiwa miaka minne jela. Hii ni mara ya pili kuua Mke na kuhukumiwa

Hiyo ni mara ya pili kuua na kwa kuwa ameshindwa kujifunza kutokana na hukumu ya mwanzo na amerudia kosa, ilipaswa ahukumiwe kifungo cha maisha na kazi ngumu ili iwe fundisho...maana zinazotoka ni roho za watu na sio kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…