Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kaka hiyo namtafutia mtu kwa kuwa yeye hana analolijua zaid katika technologia,Ndio sababu namsaidia kumtafutia.Hapo me ni WAKALA TU!
Kwa kuanzia,hii ya uwakala si kazi mbaya saana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka hiyo namtafutia mtu kwa kuwa yeye hana analolijua zaid katika technologia,Ndio sababu namsaidia kumtafutia.Hapo me ni WAKALA TU!
Asante sana!Naomba Mungu akukumbushe ili unikumbuke!Nimekuelewa mkuu!
Nikiwa sehemu za mjini
nitaku PM.
Ili niangalie tunafanyaje,
Wana JF naomba yeyote aliyeko mkoani TABORA anisaidie kutafuta kazi yoyote ile ya kufanya.HATA KAMA NI ULINZI.Elimu yangu ni form six.Nimechoka kunyanyaswa kisa sina kazi.Naomba niwasilishe mada!