Tabora: Sakata la Kanisa lililojengwa kuziba barabara na kupiga muziki saa 24 kumbe ni genge la wahuni ( 5 )

Nimeishi Tabora na Sikonge nimerogwa sana na hao Waswahili wapinga Kristo
Mungu wako wa kilokole alizidiwa nguvu na waswahili wapinga kristo ? Basi atakuwa Mungu feki kama wa Hawa rafiki zako .
 
Hilo kanisa liachwe ili litoe huduma za kiroho katika mji uliojaa ushirikina
Hebu jifunze kutofautisha kati ya kanisa na genge la wahuni .Hilo sio kanisa ni genge la wahuni ndio maana hawana usajili wa kanisa , hawana kibali cha ujenzi, hawana kibali cha kuendesha kanisa , unaitaje kanisa vichaa wa namna hii? Hebu jipime mkuu . Nyinyi ndio wakristo fata mkumbo hata ibilisi akija kwa njia ya haya makanisa feki mnaunga mkono bila hata kupima .
 
Waachwe watangaze neno la Bwana na wasafishe mapepo kwenye huo mtaa
 
Hilo kanisa liachwe ili litoe huduma za kiroho katika mji uliojaa ushirikina
Hebu jifunze kutofautisha kati ya kanisa na genge la wahuni .Hilo sio kanisa ni genge la wahuni ndio maana hawana usajili wa kanisa , hawana kibali cha ujenzi, hawana kibali cha kuendesha kanisa , unaitaje kanisa vichaa wa namna hii? Hebu jipime mkuu
Waachwe watangaze neno la Bwana na wasafishe mapepo kwenye you mtaa
Neno la bwana halitangazwi na wahuni na vibaka linatangazwa waadilifu , wacha Mungu na wanyenyekevu , Soma 6:5 Mathayo Yesu Kristu anasemaje , Tena msalipo msiwe Kama wale wanafiki wanaotaka waonekane na watu ...... Wewe genge lako la wahuni mnamfuata Yesu Kristu yupi ? Maana maigizo yake haya hapa . Wapi Yesu Kristu amewaambia muwapigie watu muziki mkubwa sana kama vichaa ?
 
Huyu aliyeleta bandiko atakuwa kakosa mgao wa sadaka huyu, hakuna baa ,kanisa ,hotel ,msikiti inayoweza kupiga mziki 24 hrs natudia hakuna ,24hrs ?ina maana wanapokezana hapo kupiga mziki?hata hivyo vyombo vingeibwa,tunamambo mengi ya kujadili tupumzishe kidogo
 
Haisaidii ukipotosha , ukweli uko palepale , soma barua hapo juu mwenyekiti wa mtaa , mtendaji kata na barua ya afisa mipango miji zote zinathibitisha wewe unapinga kama nani ukweli unabaki palepale .
 
Heshimu Imani za wenzako Ndugu
Siwezi kuheshimu imani feki , na imani feki zinajulikana tu kwa vitendo vyao , kanisa la Mungu kwa mujibu wa mafundidho ya Yesu Kristu halina huu upumbafu unaotajwa hapa , ukurupuke kuanzisha kanisa bila usajili ? Ujenge bila kibali cha ujenzi , uendeshe kanisa bila kibali , uwapigie watu muziki mkubwa kama wehu , unahubiria waumini kanisani au unahubiria mtaa ? Kama unahubiria mtaa je ni waumini wa dini yako , acheni kero na uvunjifu wa sheria kwa kisingizio cha dini au kanisa .
 
Haisaidii ukipotosha , ukweli uko palepale , soma barua hapo juu mwenyekiti wa mtaa , mtendaji kata na barua ya afisa mipango miji zote zinathibitisha wewe unapinga kama nani ukweli unabaki palepale .
Kuwa realistic inamaana nikienda hilo eneo muda huu mziki unapigwa?,nikienda saa mbili usiku mziki unapigwa ?je saa 7 uck ,kuwa muungwana na jiongezeee shughuli za kuongeza kipato utapunguza kufuatilia yasiyo kuhusu.Namaliza kusema tujenge taifa sio majungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…