Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Subiri mwisho wa muvu ndo utaelewa.Aliyewahi kua Mwenyekiti wa Simba,Katibu Mkuu wa FAT na Mbunge wa zamani wa Tabora Mjini,ametiwa mbaroni mkoni Tabora na TAKUKURU kwa kosa lakutoa nakushawishi rushwa!!
Mwaka huu tutaona mengi sanaView attachment 1459493View attachment 1459494
Sent using Jamii Forums mobile app