Subiri mwisho wa muvu ndo utaelewa.Aliyewahi kua Mwenyekiti wa Simba,Katibu Mkuu wa FAT na Mbunge wa zamani wa Tabora Mjini,ametiwa mbaroni mkoni Tabora na TAKUKURU kwa kosa lakutoa nakushawishi rushwa!!
Mwaka huu tutaona mengi sanaView attachment 1459493View attachment 1459494
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema kwa kuvunja sheria hawajambo.
Kamata tu!
Aliyewahi kua Mwenyekiti wa Simba,Katibu Mkuu wa FAT na Mbunge wa zamani wa Tabora Mjini,ametiwa mbaroni mkoni Tabora na TAKUKURU kwa kosa lakutoa nakushawishi rushwa!!
Mwaka huu tutaona mengi sanaView attachment 1459493View attachment 1459494
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha ubaguzi wewe,sheria ni msumeno!Lumumba wenzako wasomali
In God we Trust
Ukiambiwa togwa haileweshi nawe unaifakamia tu,angalia sasa ulivyolewa!tulia mbeya yeye sheria haimuhusu inchi kwa double standards hamujambo