Tabora tuna raha sana hebu pitia kidogo hapa

Tabora tuna raha sana hebu pitia kidogo hapa

[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Et wanakijiji wakulimie shamba bure. Ilikua zaman sana hio boss.
Zao la tumbaku ndo linasuasua sana these days. Tunahitaj kuimarisha zao la karanga kua zao kuu la biashara,na pia litautambulisha mkoa wetu vizur kama wanavofanya singida na alizeti yao. Shida yetu n uvivu tu.....
 
Mi nilijua jambo la msingi kumbw upupu tuuu hata sijamalizia baada ya kuona utumbo wa dagaa mkuu
 
Back
Top Bottom