Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Ujenzi wa maboresho ya jengo hilo umekuwa ukiendelea kwa siku kadhaa.
Ikumbukwe Februari 28, 2025, Mwanachama aliyeripoti taarifa hiyo alidai baadhi ya Walimu wamekuwa wakilazimika kukaa chini ya Mti ili kusubiri kuingia madarasani na kusababisha mazingira yasiyo rafiki ya utendaji kazi katika shule hiyo.
Jitihada za JamiiForums kumtafuta Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Uyui, Leokadia G. Humera kuzungumzia suala hilo, zinaendelea.
Ilivyokuwa awali ~ Jengo la Walimu katika Shule ya Msingi Nsololo (Tabora) lililoezuliwa paa limetelekezwa mwezi wa pili sasa