Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hao siyo f6 leavers, maana hawajafundishwa kitu kwa miaka yote 6. Walikuwa wanavuta miangi tu.Form six leavers wanafanya ujinga huo? Shane
Halafu Tabora hamna hata baridi, wangekuwa NJOSS wangesemaje mkuu?Msoto gani .
Ujinga ujinga tuu..
Washenzi kabisa na hayo ni malezi mabovu ya nyumbani..
Mitoto kama hii ilibidi ipelekwe jeshini huko ikafundishwe adabu
Mijinga sana...Halafu Tabora hamna hata baridi, wangekuwa NJOSS wangesemaje mkuu?
Mitoto mijinga hii
Jamaa wale🙌.Mijinga sana...
Yaani pale NJOSS kuna hao scout aiseee ukipelekwa kule scout chamber wallah utajuta
Hamna mkuu.... Alafu suma mbona hawana mambo mengi wapo polite sanaJamaa wale🙌.
Hivi SUMA JKT ndiyo scout wa chuo mkuu?