Kama ni kweli basi hawafai. Watolewe fasta waende wakawafanyie wazazi wao huo upumbavu!Wahitimu wa kidato cha sita zaidi ya 130 katika Shule ya Sekondari Milambo iliyopo Mkoani Tabora wamelazimika kuondolewa Shuleni hapo chini ya ulinzi mkali wa Jeshi Polisi muda mfupi baada ya kumaliza mtihani wao wa mwisho wa kuhitimu kidato cha sita, hii ikiwa ni baada ya njama zao za kutaka kuchoma Shule hiyo na kuandamana kubainika.
Wanafunzi hao wanatuhumiwa kupanga njama hizo baada ya kuzuiwa kufanya mahafali ya kuhitimu masomo yao kutokana na kile ambacho Shule imesema ni uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani kwakuwa Uongozi wa Shule ulipata taarifa kuwa Wanafunzi walipanga kufanya vurugu kali Shuleni baada tu ya mahafali kumalizika.
Uongozi wa Shule umesema sababu nyingine iliyofanya wasiruhusu mahafali kufanyika ni kwakuwa Wanafunzi hao baada ya kuona wanakaribia kuhitimu Shule walianza tabia za hovyo ikiwemo kufanya jogging mitaani wakiwa na muziki mkubwa huku wakiwa wamevua nguo, kujichora tattoo, kutoroka na kwenda club usiku na wakirudi wanazima umeme wa Shule nzima ndipo wanaingia mabwenini pamoja na kuanzisha mabifu na ugomvi na Shule jirani na hata kupigana nao wakati wa mechi au michezo ya jioni.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Paul Chacha, ameelekeza Wanafunzi hao waondolewe Shuleni hapo na kwenda makwao chini ya ulinzi huku akiwataka Polisi kuimarisha ulinzi maeneo yote ya Shule kwani baadhi ya Wanafunzi wa madarasa mengine wengine wanaendelea na masomo na pia kundi jingine la kidato cha sita linaendelea na mitihani chini ya ulinzi mkali wa Polisi na wakishamaliza tu nao watapelekwa makwao .
Nimesoma hizo hizo Shule za GVT kuanzia Chekechea hadi kidato cha Sita, na tukakutana na hao hao sa SAINT vyuon walituzid presentation tu zile za DS, ila kwenye Haematology, sijui Microbiology and Immunology tukawaelekeza kwa kiswahali vizuri tuShule za serikali siyo shule ni makambi ya kuvuta bangi na kufanya ngono. Watanzania mnaopeleka watoto/wadogo zenu huko mwafwa!
Wenzenu wanapeleka watoto wao shule za Saint.......ama International, halafu vyuo wanasoma nje. Ninyi watoto wenu wanavuta bangi mpk wanavua nguo
Hiki kizazi ni hopeless kabisaNidhamu hamna,
Kuna video nimeona TikTok form 6 wamemaliza mitihani na zile uniform wamechana chana na wamezivaa huku wanaimba nyimbo za kipuuzi
Wahitimu wa kidato cha sita zaidi ya 130 katika Shule ya Sekondari Milambo iliyopo Mkoani Tabora wamelazimika kuondolewa Shuleni hapo chini ya ulinzi mkali wa Jeshi Polisi muda mfupi baada ya kumaliza mtihani wao wa mwisho wa kuhitimu kidato cha sita, hii ikiwa ni baada ya njama zao za kutaka kuchoma Shule hiyo na kuandamana kubainika.
Wanafunzi hao wanatuhumiwa kupanga njama hizo baada ya kuzuiwa kufanya mahafali ya kuhitimu masomo yao kutokana na kile ambacho Shule imesema ni uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani kwakuwa Uongozi wa Shule ulipata taarifa kuwa Wanafunzi walipanga kufanya vurugu kali Shuleni baada tu ya mahafali kumalizika.
Uongozi wa Shule umesema sababu nyingine iliyofanya wasiruhusu mahafali kufanyika ni kwakuwa Wanafunzi hao baada ya kuona wanakaribia kuhitimu Shule walianza tabia za hovyo ikiwemo kufanya jogging mitaani wakiwa na muziki mkubwa huku wakiwa wamevua nguo, kujichora tattoo, kutoroka na kwenda club usiku na wakirudi wanazima umeme wa Shule nzima ndipo wanaingia mabwenini pamoja na kuanzisha mabifu na ugomvi na Shule jirani na hata kupigana nao wakati wa mechi au michezo ya jioni.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Paul Chacha, ameelekeza Wanafunzi hao waondolewe Shuleni hapo na kwenda makwao chini ya ulinzi huku akiwataka Polisi kuimarisha ulinzi maeneo yote ya Shule kwani baadhi ya Wanafunzi wa madarasa mengine wengine wanaendelea na masomo na pia kundi jingine la kidato cha sita linaendelea na mitihani chini ya ulinzi mkali wa Polisi na wakishamaliza tu nao watapelekwa makwao .
Nipo hapa naijua SERIKALI na usalama wa TAIFA.Finally hawa wametuwakilisha enzi zetu, maana mitoto ya siku hizi imekuwa kama midemu laini laini ndio maana ushoga umezidi....
Safi sana, halafu ndio wote wanatoka na 1 kali mpaka mlimani......
Mkuu comment yako imenichekesha sana. Nimepita Milambo enzi za bwana Majuba., miaka 1998's.Majinga haya 2008 yalitulaza Macho usku mzima Tabora Boys baada ya kuelezwa kuwa yanakuja kuchoma shule usku.
Tumesoma serikali mwanzo mwisho na tunatamba na elimu zetu Safi mkuu.Nimesoma hizo hizo Shule za GVT kuanzia Chekechea hadi kidato cha Sita, na tukakutana na hao hao sa SAINT vyuon walituzid presentation tu zile za DS, ila kwenye Haematology, sijui Microbiology and Immunology tukawaelekeza kwa kiswahali vizuri tu
Aloo hawa jamaa🙌🙌🙌🙌🙌Mkuu comment yako imenichekesha sana. Nimepita Milambo enzi za bwana Majuba., miaka 1998's.
Mtaalamu LIKUD 😀Shule za serikali siyo shule ni makambi ya kuvuta bangi na kufanya ngono. Watanzania mnaopeleka watoto/wadogo zenu huko mwafwa!
Wenzenu wanapeleka watoto wao shule za Saint.......ama International, halafu vyuo wanasoma nje. Ninyi watoto wenu wanavuta bangi mpk wanavua nguo
Duuh sio poa kuna mitoto mutukutu[emoji23]Majinga haya 2008 yalitulaza Macho usku mzima Tabora Boys baada ya kuelezwa kuwa yanakuja kuchoma shule usku.
Mi mwenyewe wamenikumbusha enzi zetu.pambe tu.shule hainahata migomo? ArghFinally hawa wametuwakilisha enzi zetu, maana mitoto ya siku hizi imekuwa kama midemu laini laini ndio maana ushoga umezidi....
Safi sana, halafu ndio wote wanatoka na 1 kali mpaka mlimani......
Pia kama kumbukumbu zangu ziko sawa hili ni tishio kama la 3 kuhusu shule hii (Milambo) kutaka kuchomwa moto ndani ya miaka mi 5 (kuanzia 2021). Ukifuatilia vizuri chanzo kikuu ni kuahirishwa kwa mahafali katika miaka husika.
Kitu cha kuzingatia ni kwamba hakuna uhusiano mzuri baina ya uongozi wa shule na wanafunzi. Na siku zote mwenye mamlaka humuangushia jumba bovu asie na mamlaka.
Hakuna bange mkuu na sio mara ya kwanza kwa kesi kama hii katika uongozi uliopo wa shule.Ni issue ya bange.
Katika watu wa hovyo ni wanafunzi wa Advance hasa kidato cha sita.
Wanajiona wamemaliza, hakuna wakuwasimamisha
Sijajua kama ni yule yule ila sio mara ya kwanza kwa kesi hio.Duh, mara ya 3 .?
Kama ni mara ya 3 na huyo mkuu wa shule bado yupo, basi huyo ndio wa kuondoa hapo.
Muda mwingine mkuu wa shule anakuwa punga mkali mkali mpaka wanafunzi wanakuwa suguHakuna bange mkuu na sio mara ya kwanza kwa kesi kama hii katika uongozi uliopo wa shule.
Sijajua kama ni yule yule ila sio mara ya kwanza kwa kesi hio.