Tabora: Wanafunzi wa kidato cha 6 waliotaka kuchoma moto Shule ya Sekondari Milambo wakamatwa

Tabora: Wanafunzi wa kidato cha 6 waliotaka kuchoma moto Shule ya Sekondari Milambo wakamatwa

Mimi huwa sifanyi matukio nikiwa nimeongozanana vijana, Mimi hufanya matukio yangu mwenyewe kwa mfano nilishafanya mahaba pori na walimu wa kike pasipo matakwa yao.

I do things alone and that's my power.
Kama mimi tu enzi zangu pale Uboizini, penda na iba sana mabint wa kota za shule.
 
Shule za vipanga kama Tabora boys, kibaha nk huwezi sikia huo ujinga, habari zao ni za matokeo mazuri tuu
 
Kuna nidhamu ya jeshi na nidhamu ya uraiani. Sasa namaanisha, wanaotakiwa kwenda jeshini lazima wawe na nidhamu ya uraiani kwanza ndiyo waende huko jeshini.
Oky hapo nimekupata mkuu nikajua kule jeshini wanachukua hata hawa wazembe alafu wanaanza kuwanoa
 
Wapo hata baadhi ya wanafunzi wa feza tumepiga nao chuo na ajira hizi hizi za kuunga unga
Huyo atakuwa ni mtoto wa mwalimu, nesi ama askari aliyeiga mambo makubwa asiyoyaweza.

Watoto wa Feza Og huwa wanaenda mamtoni kusoma na wakitoka huko wanafikia ajira za wizarani moja kwa moja ama wanakabidhiwa makampuni na wazazi wao.
 
Nimesomea hapo O-level! Ni moja ya shule zenye historia ya kufanya vurugu.
 
Back
Top Bottom