Tabora wanahitaji msukumo wa ziada kiuchumi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Tabora mjini bado kuna nyumba nyingi za udongo, usafiri wa baiskeli, bodaboda kidogo Sana, taxi chache na kuukuu, daladala moja Tu. Hakuna kiwanda kama vipo labda 2 vidogo vya kuchapisha au mikate (mtanisahihisha).

Lakini hata maduka mengi hasa ya wenyeji hiwa yanafunguliwa saa 3 asubuhi na kufungwa saa 12 jioni. Nyumba zenye hadhi ya kulala watumishi sio rahisi kupatikana, mitaa ya wenyeji kuna wakora wengi.

Kwaakili yangu nilidhani kuwa maeneo ya karibu na airport kungekuwa kunauzwa bidha za Tabora kama vile asali, karanga, tumbaku na vitu mingine vinavyopatikana Tabora ili wanaosafiri kwa ndege pia wawe wanasaidia kukuza uchumi wa Tabora Kwa kuzinunua bidhaa zao Kwa urahisi. Lakini airport Yao imezunguukwa na majani Tu hakuna biashara yoyote inayofanyika maeneo yale.

Mzunguuko wa hela sio mkubwa sana hivyo maisha sio rahisi sana.

Nadhani Tabora inahitaji jicho la ziada.
 
Nmekaa Tabora miaka 3, Tabora maeneo mengi ni ya serikali na hayaendelezwi.
Mfano mzuri ni Magereza, Boma, Airport.
Biashara zinaenda wastani mfano nguo zinapata soko sana.
Kuna vyuo vingi mfano chuo cha uhazili, St. Augustine, AMUCTA na vyuo vidogo vinavyochangamsha mji na mabaharia.
Changamoto ya mkoa wa Tabora ni maji. Tabora kuna uhaba wa maji sana hali inayofanya pasifae kwa maisha.
Muda si mrefu wataanza kupata maji kutoka Victoria na kwa spidi ya Mh. Mwamri Tabora itakua Toronto.
 
Wale wa musoma mpite huku, na nyie mmepasahau kwenu mji umepauka sana ule...
 
Nmekaa Tabora miaka 3, Tabora maeneo mengi ni ya serikali na hayaendelezwi.
Mfano mzuri ni Magereza, Boma, Airport.
Biashara zinaenda wastani mfano nguo zinapata soko sana.
Kuna vyuo vingi mfano chuo cha uhazili, St. Augustine, AMUCTA na vyuo vidogo vinavyochangamsha mji na mabaharia.
Changamoto ya mkoa wa Tabora ni maji. Tabora kuna uhaba wa maji sana hali inayofanya pasifae kwa maisha.
Muda si mrefu wataanza kupata maji kutoka Victoria na kwa spidi ya Mh. Mwamri Tabora itakua Toronto.
tabora itakuwa toronto, ni kaa kusema jiwe atakuwa zaidi ya trump
 
Tabora mjini bado kuna nyumba nyingi za udongo, usafiri wa baiskeli, bodaboda kidogo Sana, taxi chache na kuukuu, daladala moja Tu. Hakuna kiwanda kama vipo labda 2 vidogo vya kuchapisha au mikate (mtanisahihisha).

Lakini hata maduka mengi hasa ya wenyeji hiwa yanafunguliwa saa 3 asubuhi na kufungwa saa 12 jioni. Nyumba zenye hadhi ya kulala watumishi sio rahisi kupatikana, mitaa ya wenyeji kuna wakora wengi.

Kwaakili yangu nilidhani kuwa maeneo ya karibu na airport kungekuwa kunauzwa bidha za Tabora kama vile asali, karanga, tumbaku na vitu mingine vinavyopatikana Tabora ili wanaosafiri kwa ndege pia wawe wanasaidia kukuza uchumi wa Tabora Kwa kuzinunua bidhaa zao Kwa urahisi. Lakini airport Yao imezunguukwa na majani Tu hakuna biashara yoyote inayofanyika maeneo yale.

Mzunguuko wa hela sio mkubwa sana hivyo maisha sio rahisi sana.

Nadhani Tabora inahitaji jicho la ziada.
Tabora ni pahali panaweza kukua sana kiuchumi, kunawezekano wa kuweka kiwada cha kisasa cha asali, cha kujicha ngome na mbuzi na pia kuwekeza katika shamba kubwa ya ngombe wa maziwa na kiwada cha maziwa, tatizo kubwa kwa mji kaa tabora na miji mingine na tz kwa ujumla ni hili, mazingira chafu na mabaya kwa uwekezaji , ile kitu inaitwa FDI wawekezaji toka nje ya nchi wanaweza ekeza, lakini kwa hii serikali APANA, so tz itabaki vile vile very very poor country
 
Tabora ya miaka ipi hiyo unaizungumzia, So far Tabora imebadilika sana hivi karibuni barabara za mji zimeboreshwa tena kwa kiwango cha lami kuanzia isevya, ipuli, magereza, kiloleni, cheyo, mwanza road, mwinyi, n.k watu wanafanya biashara, watu wanajenga inshort tabora imepanuka.
N.b
Njia kuu za kwenda mwanza, kigoma, mbeya, singida zimefunguka na mji umechangamka kwa sasa
 
Tatizo la mkoa wa tabora wote ni UMWINYI, wa wakazi wake, hawataki kufanya kazi, wao ni bao tu, yaani ni kama mikoa mingi ya pwani,, na ndio maana hata vijana wa pale wengi ni vibaka tu tu, katika mikoa inayoongoza kwa ukabaji ukiacha dar ni tabora!! Vijana hawataki kufanya kazi!! Msikitini, kwenye bao na kahawa
 
Wakazi wa tabora ni wavivu!!!
 
nimekuelewa sana mkuu, sijui tatizo la sehemu nyingi ambazo waislamu ndio wengi, kazi ya hizo sehemu ni musikitini, kahawa na ubakaji period, angalia tanga miaka ya nyuma mji ulikuwa wa mbele sana sasa elimu ni madarasa tu
 
Tabora ya miaka ipi hiyo unaizungumzia, So far Tabora imebadilika sana hivi karibuni barabara za mji zimeboreshwa tena kwa kiwango cha lami kuanzia isevya, ipuli, magereza, kiloleni, cheyo, mwanza road, mwinyi, n.k watu wanafanya biashara, watu wanajenga inshort tabora imepanuka.
N.b
Njia kuu za kwenda mwanza, kigoma, mbeya, singida zimefunguka na mji umechangamka kwa sasa
Umeshaona makao makuu ya mkoa yana daladala moja Tu na maduka kufunguliwa saa 3? Sehemu moja Tu inaitwa Oxygen ndo ina afadhali nyakati za jioni.
 
Back
Top Bottom