Yaani ufananishe Mtwara na Tabora?Angalau Mtwara kuna gas, korosho, bahari, dangote, na totos
Tabora ni mji wa zamani Sana hata Tanu ilizaliwa huko, shule za mwanzo kabisa zilikuwepo Tabora, kuonekana kama vile hadi leo ni kama vile mtoto aliyebemendwa.Mkuu umemuelewesha vema kabisa. Kwamfano hapa stand ilipo watu wazima wanasema palikuwa kuna majaruba ila kwasasa akija mgeni hawezi kuamini nawanakwambia wakati ule kiwanja maeneo haya yastand walikuwa wanauza haizidi laki 5 ila kwasasa sio Chini ya milioni Mia nakuendelea.
NB: wasomaji wahuu uzi tumpuuze huyu kijana aliyeuleta huu uzi tumchukulie kama vile rimbukeni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kiongozi Tabora umebadilika sana tena sana na watu hawajui Tabora ya leo wanasemaje nyumba za tope nyingi jamani huo mji wa zamani kwaiyo hizi nyumba mnazoziona leo miaka ya 70 mapaka 80 ndio zilikuwa bangaroo kwaiyo ile miaka mtu akitoka kigoma, singinda mwanza akifika Tabora anaona yupo mjini na ashangaiMkuu umemuelewesha vema kabisa. Kwamfano hapa stand ilipo watu wazima wanasema palikuwa kuna majaruba ila kwasasa akija mgeni hawezi kuamini nawanakwambia wakati ule kiwanja maeneo haya yastand walikuwa wanauza haizidi laki 5 ila kwasasa sio Chini ya milioni Mia nakuendelea.
NB: wasomaji wahuu uzi tumpuuze huyu kijana aliyeuleta huu uzi tumchukulie kama vile rimbukeni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu hu ni ubinfsi sana, yaani una uwezo unaacha nyumba ianguke sababu ni ya familia? Mbona mikoa mingine haina wazee wamefariki lakini wanafanya ukarabati wa nyumba zao? Kule Moshi migombani nyumba zimejengwa za maana na wazee wamefariki wameacha watoto lazkini wanajenga zao na kuhakikisha nyumba ya mzee inakarabatiwa anu inavunjwa inajengwa upya. Tabora uswahili na ushirikina ndio unafanya ule mji uwe vile. Tabora ya 90' ilikuwa imechangamka sana wakati wachaga wanafanya biashara kule ila waswahili wanaabudu majini na kurogana tu ndio shida ya kupooza mji.Kiongozi Tabora umebadilika sana tena sana na watu hawajui Tabora ya leo wanasemaje nyumba za tope nyingi jamani huo mji wa zamani kwaiyo hizi nyumba mnazoziona leo miaka ya 70 mapaka 80 ndio zilikuwa bangaroo kwaiyo ile miaka mtu akitoka kigoma, singinda mwanza akifika Tabora anaona yupo mjini na ashangai
Sasa kwakua nyumba zazamani wenye miji wamekufa naimanisha wazazi kwaiyo nyumba nyingi ni za familia na familia zimetawanyika unategemea nani ataweka pesa yake akarabati nyumba ya familia pale maana wazazi hawapo anamjengeq nani kwaiyo ndio maana magofu mengi sababu ni nyumba za familia wanafamilia wanaacha hivyo hivyo kuepuka kelele
Mfano mdogo tu hivi rage alikuwa hana uwezo wakubomoa pale kwao mtaa wa rufita akajenga bangaroo kwanini pako vile vile mpaka leo, haya bachu pale mzee moshi tiitii alikuwa na nyumba namzingua baba yao mrisho moshi, iddi moshi na hatuna moshi bobani hivi hawa kina idi moshi walishimdwa kuvuta ile nyumba wakajenga bangaroo jibu Mali za familia kwaiyo panaachwa vile vile tu
Upo Sawa mkuu namfano mzuri nikwaadaeni rage. Hizi nyumba zibakie kama ukumbushoKiongozi Tabora umebadilika sana tena sana na watu hawajui Tabora ya leo wanasemaje nyumba za tope nyingi jamani huo mji wa zamani kwaiyo hizi nyumba mnazoziona leo miaka ya 70 mapaka 80 ndio zilikuwa bangaroo kwaiyo ile miaka mtu akitoka kigoma, singinda mwanza akifika Tabora anaona yupo mjini na ashangai
Sasa kwakua nyumba zazamani wenye miji wamekufa naimanisha wazazi kwaiyo nyumba nyingi ni za familia na familia zimetawanyika unategemea nani ataweka pesa yake akarabati nyumba ya familia pale maana wazazi hawapo anamjengeq nani kwaiyo ndio maana magofu mengi sababu ni nyumba za familia wanafamilia wanaacha hivyo hivyo kuepuka kelele
Mfano mdogo tu hivi rage alikuwa hana uwezo wakubomoa pale kwao mtaa wa rufita akajenga bangaroo kwanini pako vile vile mpaka leo, haya bachu pale mzee moshi tiitii alikuwa na nyumba namzingua baba yao mrisho moshi, iddi moshi na hatuna moshi bobani hivi hawa kina idi moshi walishimdwa kuvuta ile nyumba wakajenga bangaroo jibu Mali za familia kwaiyo panaachwa vile vile tu
Aaa mkuu sijui kama ni kweli, hata hicho kidogo unachokiona sasa ni matunda binafsi ya Mkuu wa Mkoa ambaye sio mwenyeji wa Tabora ambaye anajaribu kutaka kubadilisha mambo angalau kufanane na alikotoka (kwao). Lakini atafanya nini kama wenyeji wanaamka saa tatu kunywa chai?. Unapoona duka linafunguliwa saa 3 maana yake watu (wateja) wanachelewa kuamka. Unataka mzee Mwanri akawaamshe vitandani waende kwenye shughuli na kiuchumi.Msukumo toka kwa viongozi ni duni, wengi huletwa wanasiasa makada na viongozi maslahi. Tumbaku haina maslahi kwa mkoa zaidi ya kuleta jangwa kwa ukataji miti. Mradi wa MKUU wa mkoa kupanda miti mjini ni bomu linalokuja, kubomoa barabara na kuangukia majumba. Miti imepandwa mpaka eneo la wapita kwa miguu. Juhudi hii ingepelekwa mashambani ingesaidia ecolojia.
khaaaa!!, hata pale Kariakoo zilikuwepo nyumba za miti za familia kama unazosema wewe, mbona wao wamezivunja na kujenga magorofa?Kiongozi Tabora umebadilika sana tena sana na watu hawajui Tabora ya leo wanasemaje nyumba za tope nyingi jamani huo mji wa zamani kwaiyo hizi nyumba mnazoziona leo miaka ya 70 mapaka 80 ndio zilikuwa bangaroo kwaiyo ile miaka mtu akitoka kigoma, singinda mwanza akifika Tabora anaona yupo mjini na ashangai
Sasa kwakua nyumba zazamani wenye miji wamekufa naimanisha wazazi kwaiyo nyumba nyingi ni za familia na familia zimetawanyika unategemea nani ataweka pesa yake akarabati nyumba ya familia pale maana wazazi hawapo anamjengeq nani kwaiyo ndio maana magofu mengi sababu ni nyumba za familia wanafamilia wanaacha hivyo hivyo kuepuka kelele
Mfano mdogo tu hivi rage alikuwa hana uwezo wakubomoa pale kwao mtaa wa rufita akajenga bangaroo kwanini pako vile vile mpaka leo, haya bachu pale mzee moshi tiitii alikuwa na nyumba namzingua baba yao mrisho moshi, iddi moshi na hatuna moshi bobani hivi hawa kina idi moshi walishimdwa kuvuta ile nyumba wakajenga bangaroo jibu Mali za familia kwaiyo panaachwa vile vile tu
Huu ni uongo.Tabora mjini bado kuna nyumba nyingi za udongo, usafiri wa baiskeli, bodaboda kidogo Sana, taxi chache na kuukuu, daladala moja Tu. Hakuna kiwanda kama vipo labda 2 vidogo vya kuchapisha au mikate (mtanisahihisha).
Lakini hata maduka mengi hasa ya wenyeji hiwa yanafunguliwa saa 3 asubuhi na kufungwa saa 12 jioni. Nyumba zenye hadhi ya kulala watumishi sio rahisi kupatikana, mitaa ya wenyeji kuna wakora wengi.
Kwaakili yangu nilidhani kuwa maeneo ya karibu na airport kungekuwa kunauzwa bidha za Tabora kama vile asali, karanga, tumbaku na vitu mingine vinavyopatikana Tabora ili wanaosafiri kwa ndege pia wawe wanasaidia kukuza uchumi wa Tabora Kwa kuzinunua bidhaa zao Kwa urahisi. Lakini airport Yao imezunguukwa na majani Tu hakuna biashara yoyote inayofanyika maeneo yale.
Mzunguuko wa hela sio mkubwa sana hivyo maisha sio rahisi sana.
Nadhani Tabora inahitaji jicho la ziada.
Hili la daladala moja kwa mkoa mkubwa kuliko yote Tz kijiografia, sikubaliani nalo ingawa sijawahi kufika Tbr. Ngoja wenyeji waje.
Migahawa mizuri ya maana katikati ya mji niliona miwili tu, hotel za kulala chache sana halafu zina hadhi ya kawaida sana ukitoa Frankman.
Tabora mjini!! Yaani huo mji haufai, kuna jamaa namfahanu ni muislam ila imemlazimu kufuga mbwa tu hakuna jinsi!! Kwani kama ni kumuibia walimuibia vya kutosha!! Mwezi wa saba, kulikuwa na wasafi festival hapo nilichokiona sikuamini kama kinafanyika tabora, watu walipolwa, kubakwa!! Vijana wafanye kazi
Waongopee wengine ambao hawajawahi ishi hapo tabora!! Huo mji haufai kabisa kutembea usiku, mimi nimekuwa napita sana hapo na kuna jamaa zangu wanaishi hapo, cha moto wanakiona, wiki iliyopita nilikuwa hapo maeneo ya stendi hapo kuna lodge inaitwa MWAFRIKA, ndio nilifikia hapo dar, kuna jamaa yangu alikutana nao alienda mwanza road!! Kifupi tabora sio pazuri!!!Tabora haina huo ukabaji one of the peaceful place to live.
Unaweza kukatiza eneo lolote hata saa nane usiku na usifanywe chochote.
Kama mikoa yenu inauhalifu siyo yote kuweni fair
Neverland
Taja mitaa ambayo kuna ukabaji.Tabora mjini!! Yaani huo mji haufai, kuna jamaa namfahanu ni muislam ila imemlazimu kufuga mbwa tu hakuna jinsi!! Kwani kama ni kumuibia walimuibia vya kutosha!! Mwezi wa saba, kulikuwa na wasafi festival hapo nilichokiona sikuamini kama kinafanyika tabora, watu walipolwa, kubakwa!! Vijana wafanye kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vipi hakuibiwa kuku? Wizi Tabora umekithiri. Hata mbwa huhongwa kwa kuja usiku na chakula mara kwa mara mpaka huwazoea. Isevya, Ng'ambo na Mwanza Road, utakutana na familia ni wezi kuanzia babu, baba, watoto, wajukuu, mpaka wakamwana hujfunza wizi wakisha olewa.
Hizo sifa ulizozisema sio sifa za makao makuu ya mkoa. Hizo ni sifa za kata na tarafa. Makao makuu ya mkoa ni mahali ambapo bidha za hao wafugaji, na wakulima zilipaswa kuongezewa thamani. Ni mahali ambapo wakulima wanaopaswa kwenda kununua bidha za viwandani kama majembe, sabuni,mbolea, nk. Ni mahali ambapo ajira zinapatikana kutokana na uwepo wa viwanda. Ni mahali ambao wakazi wake wananunua zaidi chakula na mazao ya mifugo kuliko kulima na kufuga wenyewe.Huu ni uongo.
1 Mji wa Tabora ndiyo mji pekee nchi ambao umepangika vuzuri ukiondoa Arusha na Kilimanjaro, pia barabara nyingi za mitaa kwa sasa ni lami ukiondoa mitaa ya pembezoni mwa mji ambayo haijachangamka sana.
2 Tabora ndiyo mji pekee wenye slams chache sana na hizi zinapatikana kwenye mitaa mitatu tu ambayo ni Kanyenye, Sukuma na chemichemi.
3 Tabora ndiyo mji pekee ambao unanyumba nyingi za wafanyakazi na bora kabisa ukilinganisha na miji mingi tu hapa nchini sijajua mleta mada unazungumzia tabora ya wapi huko.
4 kuhusu biashara Tabora siyo mji wa wafanyabiashara sana ni mji wa watumia huduma ndiyo maana vichaa nyingi zinazopatikana sokoni ni consumables zaidi
5 wakazi wa mkoa huo wengi ni wakulima hivyo suala la chakula kwao hawategemei kuvipata masokoni ndiyo maana biashara ya vyakula siyo kubwa kihivyo.
6 Tabora ni geti la mkoa mmoja ambao nao ni kuliko Tabora yenyewe ambao ni kigoma hivyo mwingiliano wa watu siyo mkubwa sana na hata kama upo siyo wa watu wakibiashara.
7 Wafanyabiashara wengi siyo watu wa asili ya Tabora sasa mbona hawana huo mwamko unaotaka kutuaminisha kuwa upo huko wanakotoka?
8 Tabora jamii kubwa inayopatikana ni wafugaji na wakulima sasa jamii hii usiitazame kwa mlengo wa kibiashara nje na hapo ni kuwaonea.
9 Airport ya Tabora siyo operative kihivyo na imezungukwa na kambi za jeshi unataka watu wakafanye biashara katika eneo lenye security tight namna hii?
10. Tabora ni moja ya mji unaokua kwa kasi sana sema awamu ya tano baada ya kuvuruga kilimo ndiyo unaonyesha kusuasua.
Unless unazungumzia Tabora ya 1990s ila siyo hii ya sasa.
Daladala ni magari yanayofanya routes za ndani ya mji. Nitajie mitaa ya Tabora na routes zake za daladala. Mfano, nitajie daladala zinazoelekea Hospital ya rufaa ya Mkoa (kitete)Stendi ya zamani inahost zaidi ya Daladala 45 + zinazoenda maeneo mbalimbali ya mkoa na stendi kuu nayo inahost magari mengi yanayoenda mikoa karibu yote sasa huyu hiyo daladala moja ameiona wapi ?