Cute Wife JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,906 Reaction score 5,000 Nov 21, 2024 #1 Wakuu, Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji Mnange katika kata ya Uyowa, jimbo la Ulyankulu mkoani Tabora, Novemba 20, 2024 Your browser is not able to display this video. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu, Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji Mnange katika kata ya Uyowa, jimbo la Ulyankulu mkoani Tabora, Novemba 20, 2024 Your browser is not able to display this video. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,230 Reaction score 6,742 Nov 21, 2024 #2 Safi sana kazi izidi kusonga kwa wote, kuwe na ushindani wa kweli
K Kulwa Jilala JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 3,891 Reaction score 8,448 Nov 21, 2024 #3 Zito alishapauka kama shati hana jipya.
M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,635 Reaction score 2,271 Nov 21, 2024 #4 Mpambano uendelee na ushindi utapatikana.