Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 236
Nimesikia kwamba mwanamuziki maarufu wa kongo , tabu ley amefariki dunia
mke wake si yupo hapo Dar kwani si angethibitisha!!
Nimesikia kwamba mwanamuziki maarufu wa kongo , tabu ley amefariki dunia
Umesikia WAPI?
NIMESHAPATA UHAKIKA KWELI AMEFARIKI ANGALIA TETESI - TABU LEY AFARIKI DUNIA - Wanabidii | Google Groups
-kuna jamaa mmoja alikuambia urudi shule.....bwa ha ha ha ha ha haNimeuliza huko na nimeshapatiwa jibu huko ndio link hiyo tatizo nini ?? ULITAKA NITOE LINK GANI ??
-kuna jamaa mmoja alikuambia urudi shule.....bwa ha ha ha ha ha ha
NIMESHAPATA UHAKIKA KWELI AMEFARIKI ANGALIA TETESI - TABU LEY AFARIKI DUNIA - Wanabidii | Google Groups
Nimesikia kwamba mwanamuziki maarufu wa kongo , tabu ley amefariki dunia
Hakuna chombo chochote cha habari kinachothibitisha kifo cha Tabuley (nimetafuta sana kwenye mtandao). Huyu Shy naona Mods wam "ban" kuanzisha mada hapa..maana naona habari zake nyingi zina UTATA!!