k majaliwa
Senior Member
- Jul 31, 2017
- 140
- 186
Tangu huyu ndg yetu wa kolomije aende kuhamasisha Misri Taifa stars imekuwa ikipokea kipigo cha goli tatu tatu kila mechi aliyoishuhudia.
Je kwenda kwake kuna faida gani?
Je kwenda kwake kuna faida gani?