Tabu makonda amekwenda Misri ni tatu tatu tu

Tabu makonda amekwenda Misri ni tatu tatu tu

k majaliwa

Senior Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
140
Reaction score
186
Tangu huyu ndg yetu wa kolomije aende kuhamasisha Misri Taifa stars imekuwa ikipokea kipigo cha goli tatu tatu kila mechi aliyoishuhudia.

Je kwenda kwake kuna faida gani?
 
Tangu huyu ndg yetu wa kolomije aende kuhamasisha Misri Taifa stars imekuwa ikipokea kipigo cha goli tatu tatu kila mechi aliyoishuhudia.

Je kwenda kwake kuna faida gani?
Kwa hiyo unataka kutuambia makonda asingeenda misri taifa stars angeshinda dhidi ya Algeria,Senegal pamoja na Kenya?
 
Back
Top Bottom