k majaliwa
Senior Member
- Jul 31, 2017
- 140
- 186
Hahaha! Anachezea kodi zetuleo tumemuunga mkono bashite tumepata zero
Lkn aibu ni taifa zimaAcha wachakazwe hao green guard
AIBU ZA GREEN GUARD NA KIONGOZI WAO WA MAFUNGO ALIYEAGA KWA BARAKA ZA BABALkn aibu ni taifa zima
Kwa hiyo unataka kutuambia makonda asingeenda misri taifa stars angeshinda dhidi ya Algeria,Senegal pamoja na Kenya?Tangu huyu ndg yetu wa kolomije aende kuhamasisha Misri Taifa stars imekuwa ikipokea kipigo cha goli tatu tatu kila mechi aliyoishuhudia.
Je kwenda kwake kuna faida gani?
Ccm weweLkn aibu ni taifa zima
Wewe unaonaje?Kwa hiyo unataka kutuambia makonda asingeenda misri taifa stars angeshinda dhidi ya Algeria,Senegal pamoja na Kenya?
Huyo makonda unamuonea bure ila ukweli ni kwamba timu yetu ya taifa ni mbovuWewe unaonaje?