Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

Asante etugrul bey mtoto wa Suleiman shaa

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Japokua una asili ya upambanaji ila hofu pia inakutawala mkuu,ili uache kazi serikalini hadi ufikishe 100million??hizo hela huwezi kuzipata hata baada yakua umestaafu nduguyangu,sema ww unahitaji upate pension ili ije ikusaidie kuendesha miradi yako uzeeni mwako ambapo naona wanaostaafu humu makazini kama mostly wanalalamika tu baada yakupokea mafao yao cjui ndio kikokotoo kinazingua cjui,ila kuchanga shillingi hadi kufikia millioni 100,kama muajiriwa waserikali idara ya afya ningumu,maana semina zenyewe za kibaguzi,hata madili ktk sekta ya afya zenye kukupatia hata laki kwa siku hizo dili hazipo mkuu.
 
Si muwe mnaandika kwanza huko watsapp ukija hapa ushushe mzigo mzima.. acheni upuuzi.
 
Story was 98% real, kwa story hii ungefanya uandishi wa kitabu humo ungeelezea kwa kirefu kila tukio kwa namna fulani ungesaidia baadhi ya maeneo yenye changamoto. Kwa sababu kuna makosa watu hurudia na nimeona kuna majibu mengi sana kuanzia kijamii, taaluma, maeneo ya kazi ndoa na familia kwa ujumla wake nk.

Mbili usifanye shughuli nyingi kwa wakati mmoja anza na moja moja hasa huwa tunasema " Anza na ulichonacho kutafuta usichonacho" una unataaluma itumie ki biashara... then mengine yatafuata. Ubarikiwe sana. Naamini utakuwa kwenye late 30s or early 40s pambana
 
Kufikia kwenye malengo ni kukomaa tuu,ila shida yako inaonesha huwa unakurupuka kwenye maamuzi,haiwezekan mtu unaejitambua ukaoe single maza wa watoto watatu,huwezi kujiuliza hao watoto wote aliwapataje??hatua ya kwanza ni kuangalia unapokosea basi uparekebishe,,

Waswahili wanasema kukosea n wakati wa kwenda tuu.
 
Sijue nikupe pole ama hongera ama vyote!

Hivi kwanini unamlaumu mama na mkeo wakati wewe ndio umekuwa msaliti wa hiyo ndoaTangu ukiwa mbezi? Yaani Tangu umekutana na yule mdogo wa nessi na wengineo ispokuwa mkeo ulipata nuksi.

Kutengeneza inatakiwa uanzie hapo.
 
Ni kweli mkuu Nina hofu sana ,mil 100 sio nyingi nilishawahi kumiliki mpaka mil 40 ,nilifanya uwekezaji mkubwa sana kule nilipohamishwa ,mradi ulikuwa bado hujaanza kuingiza fedha nikaamishwa ,kule nilimuacha braza asimamie ila baada ya muda mfupi mradi ulikufa ,sehemu niliyopelekwa ni mbali na ile niliyokuwepo yaani kufika unapanda gali karibia tatu ,sehemu nilipo Sasa ni karibia na arusha sehemu niliyokuwepo mwanzo ni karibia na mbeya ,nauli ya kufika huko unatumia karibia elfu hamsini

Unaweza kusema kwa Nini sikuacha kazi wakati nilishamiliki Zaid ya mil 40 ,ni kwamba unapofanya investment usitegemee any return angalau ndani ya mwaka mmoja ,Sasa happy unabidi uendelee na kazi ili maisha ya songe

Kwenye secta ya afya Kuna madili mengi aise na iko ndio kinachonikarisha sema sitaki kuishi hiv siku zote

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hizo shughuli ni long term plan Sasa hivi nimeanza na kilimo na ufugaji ,vikashasimama vizuri naenda kingine ,kuwa na chanzo kimoja Cha mapato ni hatari sana

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Tulikuwa tunaweza kukaa hata miez 8 hatujaonana na mke wangu ,yaani usipo angalia unaweza kubaka eti

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye local gvnt ukiendelea au kuonesha dalili zakupiga hatua kiuchumi wanakuamishanakukupiga majungu lengo nikukufelisha ktk harakati zako ambazo mostly zinategemea uwepo wako ktk eneo hilo, scenarios zako zinafanan nawengi sana watumishi waumma kuhamishwa ikiwemo mm,unahamishwa kwa kokomoloewa huku wakikuandikia barua yakwenda kuboresha huduma,nikisanga sana kutoboa ktk mazingira yenye chuki na vifungo kama hivi.niliwahi kuhamishwa kipindi ambacho ninamazao shambani ya ufuta hekari 30,nililia kama mtoto mdogo wanakutime kipindi ambacho unapata dillema ktk kufanya maamuzi,nahawakulipi hela za uhamisho nastahiki zako zingine.inshort wanakufrustrate tu mkuu.ila kama wachangiaji wengi humu wanavyokushauru right kama ungekua jasiri kiasi flani ungejikita ktk biashara za tiba au maabara au pharmacy,sema wajinga sana CO hawaruhusu kufungua duka ladawa hadi uwe na Cheti cha ADDo ambayo hivi sasa nayo imefungiwa,halafu ningumu sana kumuweka mtu akawajibika ktk biashara yako kama ambavyo ungewajibika ukiwepo wewe mwenyewe.nahapo ndio maana ulipokia dar mwenyewe uliweza kuisimamia biashara ikakua.
 
Ilikuwa ni njia ya kuponyesha jelaha langu la kuachwa na pia ku recover from mental illnesses ,ilinisaidia sana aise , tofauti na hapo suicide was my only option

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Tulikuwa tunaweza kukaa hata miez 8 hatujaonana na mke wangu ,yaani usipo angalia unaweza kubaka eti

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Na yeye alikuwa anaona poa kabisa hali akijua we ni mwanaume rijali?

Huyo nae anasehemu yake ya kutengeneza mana hata yeye alichangia. Maisha mazuri tunayataka wote ila na yenyewe huja na kivumbi chake. Sometimes ni bora ungebaki wa kawaida.

Mungu awakomboe walioangushwa na mafanikio yako waliyoyapigania usiku na mchana.
 
Kitu ambacho ninashukuru nimeweza kusimulia japo robo ya maisha yangu ,nilitaka nilete story kuanzia kwa baba yangu ,kama mnakumbuka nililetaga uzi unaitwa the legend burial lakini sik ufanikiwa kuumaliza ,nilitaka nianze kusimulia kuanzia kwa baba yangu

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kwa jinsi unavyoandika utakuwa na matatizo makubwa wewe sio doctor Wala nini
 
Hizo shughuli ni long term plan Sasa hivi nimeanza na kilimo na ufugaji ,vikashasimama vizuri naenda kingine ,kuwa na chanzo kimoja Cha mapato ni hatari sana

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Nadhani huitaji ushauri (ulishaanza) ila tunashukuru kutushirikisha sehemu fulani ya safari yako ya maisha. Negativity in families its normal huna haja ya kuamini unateswa na familia yako ila uiangalie kwa jicho la kuhitaji msaada zaidi na sio lazima uwe wa kifedha pekee but... mentally, spritually and psychologically. Kuna shida ya uelewa mdogo kwenye jamii yetu wengi kiwango cha elimu na exposure ni ndogo sana. Wanaamini msaada ni haki badala hiyari. So tunaenda nao mdogo mdogo tu.
 
Ok thanks

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…