Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

Dah! Ila jamaa una IQ kubwa sana kuhusu maisha. Salute sana mkuu
 
Dah! Ila jamaa una IQ kubwa sana kuhusu maisha. Salute sana mkuu
Sidhani ,geneuses are not born they are created ,maisha ni experience tu ,nimetoka kwenye familia yenye magomvi mengi ,lakin ulimwengu umenifunza kwa maumivu makali ,Sasa hivi Mimi ni mpole sana , nimegundua hi ndio njia nzuri ya kufanikiwa

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Nakupa ushuri mdogo.
Usifanye vitu vingi Kwa wakati mmoja.
Fanya kimoja kwanza.
Na pia Fanya ambacho kinaendana na taaluma yako kama pharmacy...ndo uangalor vingine.ila usifanye vitu vingi Kwa wakati mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…