TADB kuhamasisha uzalishaji maziwa

TADB kuhamasisha uzalishaji maziwa

maniche mayaya

New Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
4
Reaction score
2
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini (TADB), Japhet Justine amesema benki hiyo imejipanga kuhakikisha uzalishaji wa maziwa unaongezeka hapa nchini ili kutoa fursa kwa wazalishaji wadogo kuchangia ukuaji wa sekta hiyo. Justine amesema hayo wakati akizungumza na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Prof. Philemon Wambura na kuongeza kuwa, shughuli za usindikaji wa maziwa zipo chini ya kiwango kutokana na uzalishaji duni wa maziwa, hali ambayo amedai inarudisha nyuma ukuaji.SOMA ZAIDI.

mbona hasemi watafanikisha vp?
 
Sawa, ila nadhani kama Mleta mada ulipaswa ku summerise badala ya kutulengesha kwenye blog yako.

Ingawa bado sijaelewa wata deal vipi na uzalishaji Maziwa bila kuongelea ufugaji wa Ng'ombe.

Kipi kinaanza kati ya Ng'ombe na maziwa?
 
Kati ya industry inayo changamoto nyingi hii nayo ni mojawapo
 
Back
Top Bottom