je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Lwanga huyu huyu ambae hata kukimbia hawezi au kuna lwanga mwengine???? Sijawai kumuona akicheza mpira huo mkubwa ni magazeti yanamuandika vizur ila mpira wake sijauona kwa kweli .bora mkude tu.lwanga tuna mu overrate kwa kuwa ni mgeni tu ila mpira wake wa kawaida viungo aina yake ni wengi bongo sema tu wanaozungumziwa ni wa simba na yanga
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app