A
Anonymous
Guest
Ofisi ya TAESA (Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania / Tanzania Employment Service Agency Mkoa wa Dodoma, inatoa nafasi za Internship na fursa nyingine za kazi kwa upendeleo wa kujuana, badala ya kuzingatia sifa na vigezo vinavyostahili.
Aidha, baadhi ya wanaopata fursa hizo huwahudumia waombaji kwa dharau na kuwajibu kwa lugha isiyofaa. Tunaomba mamlaka husika kufuatilia suala hili na kuhakikisha fursa zinatolewa kwa uwazi, usawa na kwa kuzingatia sifa.