MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Tafadhali acha Kunipangia cha Kusema.Unamwaga ugali wa mchizi... sijui ana muda gan pale lkn hiyo ni credit mby walau ungemqendea DM
Ulitaka atangaze akiwa analia au?
Huyo chizi hana hadhi ya kujadiliwa humu
He is too childish!Unamwaga ugali wa mchizi... sijui ana muda gan pale lkn hiyo ni credit mby walau ungemqendea DM
Ukishajua then what....
he is too childish!
Yule baby kabaya aliteuliwa mkuu?Sam Sasali lazima afurahi wenzie wote waliteuliwa kasoro yeye tu.
huyo mwamba alitisha sana kama astra zenecaIla kuna mambo yanafurahisha sana, jana kuna mwamba alikua anahojiwa clouds Tv, na nukuu "katika kipindi cha rais magufuli ata mishahara tunapokea kwa wakati yani tarehe 21-25 tayari umepata mshahara, tofauti na vipindi vya nyuma ambapo tulikua tusubiria mpaka tarehe 32, 31 si unkumbuka" ..
Mtu wa procurement yule,mambo ya utangazaji kwake ni ujanja wa mjini tu.
Hamna kitu pale mkuu.Basi anaharibu kuliko anavyotetewa hapa.