Duh wewe binti unaujua mji.Kwa nijuavyo mimi Sasali ni mlokole... kuna ile imani kila mtu anayo. Sam is different katika uombolezaji wake. Na usifikiri Sam hajaguswa. Usilolijua ni kama usiku wa kiza. Sam amekula sana maisha Awamu hii. Si lazima kila mtu aonyeshe hadharani namna ameumizwa.
Mkuu badilisha Chanel.
Kwa nijuavyo mimi Sasali ni mlokole... kuna ile imani kila mtu anayo. Sam is different katika uombolezaji wake. Na usifikiri Sam hajaguswa. Usilolijua ni kama usiku wa kiza. Sam amekula sana maisha Awamu hii. Si lazima kila mtu aonyeshe hadharani namna ameumizwa.
Sorry bro, ila yaelekea wewe ni hater sana. Nyuzi zako naona nyingi wewe ni mtu wa kudiss tu.
Weeee ndo maana simuoni skuhiziBaby Kabaye yuko CNN!
Kisha niwe naangalia Unavyodinywa au?
He is a brother to me. Kuna misiba hapo katikati ya watu wetu wa karibu tu... he wasnt crying kabisaa. Yeye ndo alikua kama comedian at the same time kuliwaza wengine. Its not his style kabisa.Duh wewe binti unaujua mji.
See now?? Una tatizo mahali. ByeBila shaka Wewe utakuwa ni Mkewe au?
See now?? Una tatizo mahali. Bye
Imeisha hiyo Pimbi Wewe!!
Grow up Man.. hakukuwa na sababu ya kumtukana .. soma vizuri comments zake.. she was just trying to tell what she knows!..what's wrong with that?
Ila kuna mambo yanafurahisha sana, jana kuna mwamba alikua anahojiwa clouds Tv, na nukuu "katika kipindi cha rais magufuli ata mishahara tunapokea kwa wakati yani tarehe 21-25 tayari umepata mshahara, tofauti na vipindi vya nyuma ambapo tulikua tusubiria mpaka tarehe 32, 31 si unkumbuka" ..
Anawinda uteuziMoja wapo ya Kanuni za Utangazaji hasa wa Runinga ni Mtangazaji Kuuvaa Uhusika hasa wa Jambo fulani unalolitangaza ili Hadhira nayo ikuelewe.
Tuko katika Kipindi cha Majonzi cha Kushangaza Mtangazaji huyu Samuel Nathaniel Sasali wa Clouds 360 hayupo Kimsiba Msiba na Yeye muda wote tu ni Kufanya Mizaha isiyo ya lazima huku akidhani anapatia wakati kumbe ndiyo anaharibu zaidi.
Na sijui hii style ya Kutangaza kwa Kuongea haraka haraka huku akiwa anahema kama vile anakimbizwa na Mbwa Mwitu ameitoa wapi.
Enyi Clouds Tv jitahidini sana Kuiga jinsi ya Utangazaji wa Live Coverages kutoka katika Media kama za Citizen Tv ( Kenya), ITV Tanzania) na hata TBC1 (Tanzania) na mkiweza tafuteni Mtangazaji anayeendana na hili na siyo kama afanyavyo huyu Sam Sasali tafadhali.
Mwisho nimeangalia Utangazaji wa karibia Tv Local Channels zote nimeona karibia nyingi Kipindi hiki cha Maombolezo hazifanyi Mizaha na hata Nyuso tu za Watangazaji wao zinajielezea, ila kwa Clouds Tv naona Mizaha Mizaha ni Mingi, Upuuzi nyakati fulani na Utoto kwa baadhi ya Watangazaji wao.
Najua hapa JF kuna Wabobezi wa Masuala ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano hivyo naamini mtanisaidia Kujua aina hii ya Utangazaji wa huyu Samuel Nathaniel Sasali wa Clouds 360 hasa katika ( Live Coverages ) na Utangazaji wa Kiujumla wa Clouds Tv hasa katika Kipindi hiki cha Majonzi ya Kumpoteza aliyekuwa Rais wetu Mpendwa Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.