Tafadhali Ewe Mwanaume uliyemtesa Mtangazaji wa Magic fm Mary Edward mwombe radhi utuokoe Wanaume wote!

Kesho in jumamosi hawapo. Mpka j3 na ninvyomjua kupitia ktk hicho kipindi lazima watalizungumzia.
 
Mhhh kweli napitwa haswa..

Moja hiyo redio sijui hata feq ni zipi na wapi
Mbili hata huwa sielewi ni nini kinaendelea na ushamba wangu
 
Kesho in jumamosi hawapo. Mpka j3 na ninvyomjua kupitia ktk hicho kipindi lazima watalizungumzia.

Niliwavizia na hadi kuwasikiliza walizungumzie leo lakini naona walikuwa Kimya bila shaka ' dozi ' imeenda mahala pake.
 
As a Woman, I feel ashamed for your mother! I apologize on your behalf to all the Women (+men) who are offended by your statement!
 
inawezekana pia hajawahi kuwa na uhusiano kwa sababu ya chuki zake dhidi ya wanaume na kila mwanaume anaona hafai....au ni sagaji tu.
 
inawezekana pia hajawahi kuwa na uhusiano kwa sababu ya chuki zake dhidi ya wanaume na kila mwanaume anaona hafai....au ni sagaji tu.
Kaolewa yule dada na anawatoto 2 au 3.
 
Kama ni kweli alisema hivo basi ana matatizo ya akili. Kwanza ki bongo bong umuulize mtoto wako wa kike kama yuko period au umfundishe kuosha papuchi si utaonekana ni TEACHER AYUBU
 
mkuu wewe pia ni sehemu ya wanaMagic
kuwa wazi tu
 
Hayo mengine siyajui ila kwa hilo la siku za kawaida za wanawake ni sawa ila inamhitaji baba bora aliyekaribu na bintiye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…