Tafadhali Ewe Mwanaume uliyemtesa Mtangazaji wa Magic fm Mary Edward mwombe radhi utuokoe Wanaume wote!

Tafadhali Ewe Mwanaume uliyemtesa Mtangazaji wa Magic fm Mary Edward mwombe radhi utuokoe Wanaume wote!

Kesho in jumamosi hawapo. Mpka j3 na ninvyomjua kupitia ktk hicho kipindi lazima watalizungumzia.
 
Mhhh kweli napitwa haswa..

Moja hiyo redio sijui hata feq ni zipi na wapi
Mbili hata huwa sielewi ni nini kinaendelea na ushamba wangu
 
Kesho in jumamosi hawapo. Mpka j3 na ninvyomjua kupitia ktk hicho kipindi lazima watalizungumzia.

Niliwavizia na hadi kuwasikiliza walizungumzie leo lakini naona walikuwa Kimya bila shaka ' dozi ' imeenda mahala pake.
 
Mary Edward Mzurikawo.jpg
timu ya MORNING MAGIC.jpg
timu ya MORNING MAGIC.jpg
timu ya MORNING MAGIC.jpg
 
Nje ya mada: Ila kwakweli kati ya mambo ninayoomba Mungu aniepushe ni KUZAA MTOTO WA KIKE, yaani unazaa mtu ambae anakuja kufumuliwa marinda akibarehe, huenda asimalize hata Form 4 bikra atakuwa hana...unasomesha, lkn aikifika chuo ni demu wa watu/mke wa mtu/...akiwa likizo nyumbani...ni full kut*mbwa nachain ya boyfriend zake hadi siku ya Kuolewa/ndoa....KHAAAAA...naonagamtoto wa kike ni disgrace kabisa.


As a Woman, I feel ashamed for your mother! I apologize on your behalf to all the Women (+men) who are offended by your statement!
 
inawezekana pia hajawahi kuwa na uhusiano kwa sababu ya chuki zake dhidi ya wanaume na kila mwanaume anaona hafai....au ni sagaji tu.
 
inawezekana pia hajawahi kuwa na uhusiano kwa sababu ya chuki zake dhidi ya wanaume na kila mwanaume anaona hafai....au ni sagaji tu.
Kaolewa yule dada na anawatoto 2 au 3.
 
Kama ni kweli alisema hivo basi ana matatizo ya akili. Kwanza ki bongo bong umuulize mtoto wako wa kike kama yuko period au umfundishe kuosha papuchi si utaonekana ni TEACHER AYUBU
 
Bosi wao Mkuu Dada yangu Madam Dina Chahali ( kama bado hajahama hapo AMG ) nina uhakika tupo nae hivyo anaweza kutusaidia na kutupa ushirikiano juu ya hili. Na kama hawezi basi ' Mabrazameni ' akina Nicky Ngonyani na mwenzake Dativas Mango ambao nao pia ni sehemu ya ' Management ' hapo wanaweza kutusaidia kutupa ufafanuzi Kuntu katika hili.
mkuu wewe pia ni sehemu ya wanaMagic
kuwa wazi tu
 
Hayo mengine siyajui ila kwa hilo la siku za kawaida za wanawake ni sawa ila inamhitaji baba bora aliyekaribu na bintiye.
 
Back
Top Bottom