Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Jun 4, 2018 #61 Ulweso said: Kaolewa yule dada na anawatoto 2 au 3. Click to expand... anaweza akawa ameolewa lakini yeye ni shida katika ndoa mume akaamua kumwacha "kwa siri". Na akawa ameolewa akaonja kusagana......ikawa taabu. Angekuwa na akili timamu angejua kuwa hate yake kwa wanaume itaathiri hata watoto wake.
Ulweso said: Kaolewa yule dada na anawatoto 2 au 3. Click to expand... anaweza akawa ameolewa lakini yeye ni shida katika ndoa mume akaamua kumwacha "kwa siri". Na akawa ameolewa akaonja kusagana......ikawa taabu. Angekuwa na akili timamu angejua kuwa hate yake kwa wanaume itaathiri hata watoto wake.
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Jun 4, 2018 #62 wengi ambao hujifanya kuwachukia wanaume, huwa na sura za kiume. A beauty can not hate men......!!!
sab JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 5,723 Reaction score 4,286 Jun 4, 2018 #63 Mimi nimesha jua tatizo lake, Kipindi chake ni saa ngapi? Anapatikanaje huyo nimpe dawa atulie,
kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,097 Reaction score 7,199 Jun 4, 2018 #64 Huyu dem kumbe mshamshtukia eeh?