Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
anaweza akawa ameolewa lakini yeye ni shida katika ndoa mume akaamua kumwacha "kwa siri". Na akawa ameolewa akaonja kusagana......ikawa taabu.Kaolewa yule dada na anawatoto 2 au 3.
Angekuwa na akili timamu angejua kuwa hate yake kwa wanaume itaathiri hata watoto wake.