Machozi yalitawala during today's memorial mass for victims of the Utumishi Girls fire tragedy, ambapo mama mmoja aliyepoteza mtoto wake alitoa ujumbe mzito kwa wazazi kote nchini.
Akizungumza kwa uchungu mkubwa, the grieving mother alisema kuwa wazazi wanapaswa kupata muda wa kuwa karibu na watoto wao, kuwasikiliza na kuelewa changamoto wanazopitia kabla haijachelewa.
"Please, find time for your children. Ongea nao, sikiza wanachokuambia na uwe sehemu ya maisha yao," alisema huku akijizuia kulia, jambo lililogusa wengi waliohudhuria ibada hiyo.
Alisema kwamba mara nyingi parents are busy looking for money and providing basic needs, lakini watoto wanahitaji zaidi ya chakula na karo ya shule—they need love, attention and emotional support kutoka kwa wazazi wao.
Her message left many mourners in tears, huku wengine wakikiri kuwa maneno yake yamewafungua macho kuhusu umuhimu wa kutumia muda na watoto wao. Wengi walionekana wakifuta machozi as she narrated the pain of losing a child unexpectedly.
Memorial mass hiyo iliwaleta pamoja family members, students, teachers and leaders ambao walikusanyika kuwakumbuka wale waliopoteza maisha katika mkasa huo wa kusikitisha. Prayers and messages of hope filled the service as families continued seeking healing and strength.
Kadri taifa linaendelea kuomboleza, ujumbe wa mama huyo umebaki kuwa somo muhimu: don't wait until it's too late to connect with your children, because every moment with them is precious.