GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hujawa Rais ili uje Uwainue Wanawake Wenzako kwa Gharama za ama Kuwadharau au Kuwadidimiza au Kuwakomoa Wanaume bali umekuwa Rais wa Watanzania Wote tu Waume kwa Wake ( Jinsia Mbili zenye Kutengeneza Muunganiko wa Kimaendeleo ) kwa Ustawi wa Mama Tanzania na Kizazi chake.
Nanyi Viongozi wa Kike ( Wanawake ) katika Taasisi na Sekta mbalimbali hapa nchini hamjateuliwa ili muamze 'Kutuzodoa' Wanaume huku mkitamba na Kupongezana Kwenu kuwa katika hizo Nyadhifa / Nafasi.
Tekelezeni Majukumu yenu bila kujali / kuangalia Gender kwani huu Upuuzi mnaoufanya sasa hauna Afya ya Kimaendeleo na Kiutendaji ndani ya Jamii ya Kitanzania ( Watanzania ) na angalieni tu msije 'mkatuchochea' Sisi Wanaume na tukaanza 'Kuwachenjieni' kuanzia huku Majumbani kisha mkaja Kujuta.
Mwenyezi Mungu hakuwa Mwendawazimu kumpa Mwanaume Nguvu Kamili na Madaraka yote mbele ya Mwanamke na Dunia hivyo acheni 'Kujitutumua' muwapo katika Nafasi za Uteuzi na kuanza Kutamba ( Kujimwambafai ) na kutuona Wanaume ni kama vile Mazoba ( Mabwege Nazi ) fulani hivi kwani tukiamua Kubadilika sijui hata kama hizo Mimba mnazozipenda mtazipata tena au ule 'Utamu Kunoga' wa Kibaiolojia mtaupata tena ambao inasemekana kuwa nyie ndiyo huwa 'Mnakunika' nao Kunakotukuka.
Endeleeni tu 'Kutuchukulia' powa sawa?