Tume ya Kikwete... What do u expect? A reliable source told me kwamba kuliko kumruhusu Slaa kwenda ikulu, ni bora wakabidhi nchi kwa jeshi ili wakae kwa amani!!
Ni upuuzi uliojengeka kwa watumishi wengi wa serikali kama tume ya uchaguzi kujiona wao ni vijakazi wa wale waliowateua kumbe wanafanya kazi kwa ajili ya Watanzania wote. Kwani wakifanya kazi vizuri nani atawatoa? Unatakiwa kujiamini katika kazi yako na kutenda haki hata akiingia mtu mwingine wananchi tutasema tu.
TUME YA UCHAGUZI PLEEEEEESE TUNATAKA AMANI. TANGAZA MATOKEO NO MATTER YAKO VIPI MTAPATA HESHIMA DUNIANI NA MBINGUNI MTAHESABIWA THAWABU