Tafadhali Joketi Njoo kwangu, Mimi ndio nakufaa

Kwa kweli hawa mastaa wetu sijui huwa wanataka nini, yaani mwanamke ka yule anashindwa kutulia na mwanaume mmoja wa maana kweli!!
Huwa wanachagua halafu mwishowe wanaangukia pua
 
Hawa watoto hawaangalii vyeti blaza........watakuumiza.....hata ungekuwa rocket scientist .....kama hana mzuka na type yako humpati...ushauri ww muibukie kisela unaweza ukamega
Hahahaha Rocket scientist.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji20] umenfuraisha sn mkuu
 
hawa bongo star huwanga wanamalizana wenyewe kwa wenyewe utaona yupo break up badaye sijui kapiga self na halmo nani sijui, utaskia ameenda kucheki NBA marekani sababu alikuwa desperate, hapo yuko hivyo but moyoni kwake ashapata substitute tialee, tusubiri apost tu
 
phd yako ya kutegemea mshahara wa maguful..

una hela wewe za kumpeleka nba akaangilie mechi akijisikia
 
Hivi jokate ni mhaya?
 
Jokate chupi yake hata na upepo inadondoka wala haihitaji PHD brother wewe utakua ni domo zege unatumia nguvu nyingi kwenye mlenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu huwezi kumpata kirahisi hivi
fanya hivi we zunguka mjini uulizie anapoishi mpaka upajue afu ukipajua tu kaa nje getini kwake akirudi lazima atakuuliza unashida gani afu we mwambie hv MIMI NI BASHITE BASHITE HABARI YA MJINI na umuonyeshe vyeti vyako vya PHD mtafika mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…