mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Jokate siku hizi anamtaka mzibua chemba [emoji23] [emoji23] [emoji23]Una mkono wa mtoto???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jokate siku hizi anamtaka mzibua chemba [emoji23] [emoji23] [emoji23]Una mkono wa mtoto???
Mambo dear nimekufananisha ?Me naitwa Bashiteila kweli coz amechuja sana kiukweli yani...adi huruma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jokate chupi yake hata na upepo inadondoka
Hahahaha Rocket scientist.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji20] umenfuraisha sn mkuuHawa watoto hawaangalii vyeti blaza........watakuumiza.....hata ungekuwa rocket scientist .....kama hana mzuka na type yako humpati...ushauri ww muibukie kisela unaweza ukamega
Ndo wale wale!We una malengo nae au ndo wale wale
Hivi jokate ni mhaya?Nimekuwa naumizwa sana na hali ya mrembo Joketi kukosa mwanaume wa maana. Ambaye wataweza kujenga naye future na sio kuchezewa kama hawa wakina Ali Kiba ambao hawana future...... Kwa ujumbe huu, tafadhali Joketi njoo kwangu. Wewe ni mrembo sana tena sana. Njoo kwangu...
Kwa sasa Mimi ni mwanafunzi wa Phd (Mlimani). Nimepanga nyumba Bahari Beach.... Nafanya biashara zangu katika mikoa kadhaa ila Makao Makuu yangu yapo Dar... Nina umri wa miaka 29...
Naamini kwa sifa hizo na kwa jinsi ninavyokupenda we can make good couple. Na nazidi kuamini hizo ni sifa za ziada. Tafadhali njoo kwangu achana na hawa vijana wasio na malengo ya years to come!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jokate chupi yake hata na upepo inadondoka wala haihitaji PHD brother wewe utakua ni domo zege unatumia nguvu nyingi kwenye mlenda
Mkuu huwezi kumpata kirahisi hiviNimekuwa naumizwa sana na hali ya mrembo Joketi kukosa mwanaume wa maana. Ambaye wataweza kujenga naye future na sio kuchezewa kama hawa wakina Ali Kiba ambao hawana future...... Kwa ujumbe huu, tafadhali Joketi njoo kwangu. Wewe ni mrembo sana tena sana. Njoo kwangu...
Kwa sasa Mimi ni mwanafunzi wa Phd (Mlimani). Nimepanga nyumba Bahari Beach.... Nafanya biashara zangu katika mikoa kadhaa ila Makao Makuu yangu yapo Dar... Nina umri wa miaka 29...
Naamini kwa sifa hizo na kwa jinsi ninavyokupenda we can make good couple. Na nazidi kuamini hizo ni sifa za ziada. Tafadhali njoo kwangu achana na hawa vijana wasio na malengo ya years to come!
[emoji1] [emoji1] hadharani kwa ID fake?! Nenda kwa akina shilawadu ujumbe utafika fasta na wewe na JoJo mtakutanishwa macho kwa macho,uso kwa usoNina malengo naye. Ndio maana nimejitosa hadharani
Kwa utawala huu....huo ufisadi ataufanyia wapi?! Hamna cha ufisadi wala u-drug dealer.....[emoji1] [emoji1] [emoji1]jiandae kuwa fisadi jinsi mastaa wanavyopenda matanuzi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] harmo rapa mwenyewe ana demu wake mzurii katulia...JoJo anashindwa had na harmo rapa....Jojo ni level za hamorappa
Mkuu hadi nimecheka[emoji4] [emoji4]Hee yamekua ya kumega tena sio kuowa
Hahaaa sikutaka kucheka leo.Jokate alipo bakiza ni kumdate hamorapper sasa.
Anaenda na kiki za town.