DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Leo nilikuwa Nimechomekea ila kwa Ukatili niliofanyiwa kutokea Dirishani kwa Mauno ya uhakika huku Kalio likizungushwa kwa Madaha utadhani Feni mpya ya Darini ya Philips nilijikuta nalazimika Mwenyewe Kuchomolea kwani tayari Gear Box yangu fupi kama Nyoka Kifutu ilishaanza kutokunipa Ushirikiano wake wa Kutulia na kukaa vizuri katika njia yake ya Kiasili ya Kiufundi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🙌🙌🙌🙌
Kwahyo unataka waadhibiwe kwa sababu wamekuadhibu 😅😅😅