Wewe unaonekana ni mtoto wa mama, yaani kula kulala.Natamani lakini naogopa nisije jutia baadae,naona nifanye research kabla sijaamua, watu wanasema maneno mengi kuhusu Maisha ya marekani
Kama wewe ni mpiganaji, basi tambua umelamba bingo.Naomba Msaada kwa wenu kwa wale wenye uzoefu na hili jambo,
Nimeshinda iyo dv lottery 2016/2017 nilichaguliwa kwenye second selection September,
Sasa Nipo njia panda niendelee na process au nipotezee,nasikia maisha ya marekani magumu sio kama zamani na Kazi pia hazipatikani kirahisi, naogopa nisije kujuta .. Nina miaka 32 ,nimeoa na Nina mtoto mmoja 3yrs old,Nina biashara na nimefanikiwa kujenga nyumba.
Na sasa maisha bongo ndo yanazidi kuwa magumu na biashara pia ngumu,naombeni ufafanuzi kuhusu maisha ya marekani,.
Nahitaji kufanya maamuzi yaliyo sahihi..
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU .
[emoji12]Mi niko marekani mume wangu alipata hiyo green card inategemea na mji gan unaenda. Si tuko Massachusetts kazi zipo nyingi lakin ungekuja mwenyewe kwanza ujiandae vizur ndo uchukue familia baadae
Kupanga ni kuchagua... Hizo mikitu labda kama hutoi pesa... na wewe hiyo ushaambiwa ati second na bado hujachaguliwa unajiona Tayari kabisa kha!
Usije Mkuu Trump hataki wazembe
Mwanaharakati gani kapotea.??Wewe unaonekana ni mtoto wa mama, yaani kula kulala.
.
Hata Kama Marekani kuna maisha magumu, je? Utafananisha na maisha ya Tanzania Chini ya ccm?
Ugumu wa maisha wa marekani una afadhali mara 100,000 kuliko bongo.
wala hukupaswa kuhoji, Marekani ktk majimbo yote 51 hakuna mfanyabiashara aliyefunga biashara eti Kwa Sababu ya kubambikiwa kodi au mzunguko mbovu wa pesa.
Marekani hakuna mwanaharakati aliyepotea Kwa Sababu ya kumkosoa Rais.
Bongo ni Jehanamu bana asikuambie mtu, kwanza hukupaswa kuhoji humu ungejiondokea zako kimya kimya tu, humu kuna mi ccm ina laana itakukatisha tamaa.
Yaani kwenda USA baby hadi unataka ushauri?
Aisee hiyo bahati na ije kwangu jamani,siye tunaishia vinchi vya Africa tu, halafu wewe unaleta mapozi...
Mi niko marekani mume wangu alipata hiyo green card inategemea na mji gan unaenda. Si tuko Massachusetts kazi zipo nyingi lakin ungekuja mwenyewe kwanza ujiandae vizur ndo uchukue familia baadae