Miss-Thang
JF-Expert Member
- Mar 4, 2009
- 364
- 244
Kah! Acha kupotosha mwenzako. Umesikia wapi hii? Duh!Huko hata ungekua msomi vipi so longer ni wa kuja utafagia barafu tu na kufua,kazi wenzetu wana statistic kbs ,mmarekani kwanza wa kuja badae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kah! Acha kupotosha mwenzako. Umesikia wapi hii? Duh!Huko hata ungekua msomi vipi so longer ni wa kuja utafagia barafu tu na kufua,kazi wenzetu wana statistic kbs ,mmarekani kwanza wa kuja badae
Ndio maana hili swali ukauliza waishio marekani. Achana na wabongo wana chuki binafsi. Ukisoma marekani na kama unakibali cha kufanya kazi unapata kazi. Tatizo kubwa wanalokumbana nalo wabongo wengi Marekani ni kibali cha kazi. Wee huna hilo tatizo, soo usiwe na wasiwasi. Kuna madaktari, mafamasisti, mainjia, wafanya biashara na kdhalika ambao wana kazi za fani zao na wanaishi vizuri tuu. Mwisho wa siku pembua mwenyewe chuya na mchele.ndo maana nimeuliza wenyeji wa huko wanipe experience ya huko kabla sijaenda,nijue kabisa naenda kufagia barafu ama vipi?
Hujasikia sera za trump?,okay tuachane na trump,nitajie number ya wabongo ambao wakienda huko wanapata ''smart job'Kah! Acha kupotosha mwenzako. Umesikia wapi hii? Duh!
Nawajua wengi tuu mbona. Hivi wee umekaa marekani au umewahi hata kufika, au unasema vya kusikia tuu? Story za vijiweni! Hizo professions zote hapo juu kuna wabongo nnaowajua wanafanya. Aisee hizi story za kuunganisha zinatisha, duh!Hujasikia sera za trump?,okay tuachane na trump,nitajie number ya wabongo ambao wakienda huko wanapata ''smart job'
eleza vizuri kwani kukiwa na profession ndio uhakiki kuwa watu wanapata kazi kwa wingi,sijasema hawapo issue ni namba,hivi mtu akisema kuwa waafrika ni masikini is it true kuwa hawapo matajiri?Nawajua wengi tuu mbona. Hivi wee umekaa marekani au umewahi hata kufika, au unasema vya kusikia tuu? Story za vijiweni! Hizo professions zote hapo juu kuna wabongo nnaowajua wanafanya. Aisee hizi story za kuunganisha zinatisha, duh!
Nimekujibu tuu hiyo statement yako hapo, inapotosha.Huko hata ungekua msomi vipi so longer ni wa kuja utafagia barafu tu na kufua,kazi wenzetu wana statistic kbs ,mmarekani kwanza wa kuja badae
Jibu unalo.eleza vizuri kwani kukiwa na profession ndio uhakiki kuwa watu wanapata kazi kwa wingi,sijasema hawapo issue ni namba,hivi mtu akisema kuwa waafrika ni masikini is it true kuwa hawapo matajiri?
wanaopiga kazi huko wapo ila ni one over one hundredJibu unalo.
Hujasikia sera za trump?,okay tuachane na trump,nitajie number ya wabongo ambao wakienda huko wanapata ''smart job'
mkuu kumbe unamiliki makampuni.........kampuni gani mkuu unamiliki tutume cv"Smart job" zipo nyingi tu na wageni wa nchi mbali mbali wanazifanya.
Tatizo, Wabongo wasomi ni wachache. Mashirika makubwa ya Marekani kama Google au MIcrosoft na hata Serikali ya Marekani huwa wanatafuta watu katika Ivy League Universities kama Harvard na Princeton. Kazi za mishahara midogo Ndio wanawapa wahitimu wa vyuo vingine. Lakini bila MBA ya Harvard au Yale au vyuo vingine mashuhuri, hupati kazi kama CEO kirahisi. Ndio maana huwezi kukuta Mbongo CEO wa top 100 huko. Huko ni Wahindi , Warusi na Wayahudi tu.
Kazi za $50,000 kwa mwaka zipo lakini kwa Marekani ni hela mbuzi. Ukiwa na watoto 3, mikopo ya benki ya kununua nyumba, magari na kulipa madeni ya vyuo vikuu, huwezi kuweka akiba nyingi benki.
Wabongo wengi ni maneno mengi, action kidogo. Ukweli unauma lakini uwezo wa kusoma nje hatuna na elimu ya Tanzania haimtayarishi Mbongo kupewa wadhifa wa kazi za mishahara ya $1 million au wadhifa mkubwa kama wanavyopewa Ma CEO wa Kihindi hapo Google au Citibank.
Pia, hali ya kiuchumi ya maisha duniani inabadilika. Marekani ni military superpower sio tena Economic Superpower. Uchumi wake ni wa kukopa, raia wake wengi wanaishi kwa kukopa. Karibu kila Mmarekani anamiliki credit card zaidi ya nne. Watu wengi wanaishi "paycheck to paycheck". Wengi hawana uwezo wa kumwona daktari kwa kuwa hawana "insurance".
Raia wenye credit card wana deni la $900 bilioni mwaka 2016. Kama wana kazi nzuri na mshahara wa kutosha , wangeweza kulipa madeni yao kirahisi.
Wenye uwezo wa kulipa bili zao za credit card kwa mkupuo kila mwezi ni 35% tu. Wengi wanalipa pole pole, hawana uwezo.
Ndio maana watu wanaandamana na kutaka kula Keki kubwa zaidi ya Taifa. Uchumi wa Marekani umeshikiliwa na raia wachache. Na ulikuwa hivyo kwa miaka mingi tu. Ndio maana utasoma kuwa kuna maandamano ya " we are the 99%", wanataka kupewa tiba ya bei nafuu, kazi wanazoweza kulisha familia zao, na misaada ya kusoma kwa bei nafuu. Uchumi umeshikwa na wachache sana Marekani. Angalia Gini- coefficient ya Marekani , 80.5, the highest in developed world. Yaani, utajiri wa nchi umeshikwa na watu wachache, japokuwa Marekani ni nchi tajiri kuliko wote duniani.
Ndio maana nilimjibu Nyani kuwa Asia Kuna maisha mazuri zaidi kwa wananchi wao. China kuna "middle class" milioni 300, karibu sawa na raia wote wa Marekani. Thailand, Indonesia na Malaysia wananchi wenye uwezo wa Kati (middle class) wanaongezeka kila mwaka huku Marekani umeganda. Kila siku viwanda vinafunguliwa na kuzalisha Mali ya bei rahisi kuliko Marekani. Walmart peke yake inanunua asilimia 10 ya Mauzo ya nje ya China. Hii tu inakuonyesha jinsi gani wananchi wengi wa Marekani walivyo masikini.
Ofisi yangu ya Tokyo inapokea CV za Wamarekani 80-230 kila mwezi. Ofisi yetu ya China zilipokea 420 mwaka Jana. Haya ni maombi ya kazi kwenye kampuni moja tu!!!
Kama maisha ni mazuri wananchi wao wasingetaka kufanya kazi nje . Wangebakia na kula bata kwao. Lakini wajanja wanajua, pesa ipo Asia siku hizi.
Uchumi wa China utaipita Marekani muda sio mrefu. Umeshaipita Japan.
Uchumi wa dunia ukitikisika, investors wananunua Yuan na Yen sio Dola na Euro. Kuna sababu wanafanya hivyo.
mkuu kumbe unamiliki makampuni.........kampuni gani mkuu unamiliki tutume cv
Kijapani tutajua huko huko tukishapata kazi