nakuelewa mkuu...tafadhali tupe mtonyo wa kufika japanKama ni wavivu etc, it's your opinion . Lakini we have to agree that there are people living in America today with hardship. Some of them might have mental issues au uvivu but majority of them lost their jobs when it was shipped overseas. It will be total bollocks to assume that everyone lives like in Hollywood movies. Au hamna umasikini huko. I don't have to google to know that.
I am not competing with your American knowledge. I am just putting you on notice that I know it just as much, if not more. I don't know what you do for a living but my knowledge of American economy is what pays my bills. And I can't know that by just living in Tokyo, Can I ? Not in this global world.
It's your right to think whatever about USA. I like it personally but I don't think it's the best country to live. I think Asia is where the economy and jobs are. I also like the fact that people are not packing in Japan and I can walk 3 am without worrying about my safety.
Maybe because I don't like guns and trigger happy cops.
Lastly, kila mtu na bahati yake. Strong work ethics pay. Opportunities are everywhere though. America was great but I don't believe it's the best country on earth.
You can stick to your opinion but I think if you live in Asia, you might change your mind. Asia is great Man!
I can walk out at 3 am, no sweat. Little violence. No Guns! affordable healthcare and education for all. I am expecting to live to be 100.
What more can I ask for?
You can keep your America Dude!
Usije na mawazo ya KUAJIRIWA USNimecheza na familia yangu ,apo kwenye kilimo ni sawa na kusema kipele kimepata mkunaji,nikipata fursa iyo marekani nitaichangamkia haraka sana,bongo nilijaribu nikaishia kujuta tuu
nakuelewa mkuu...tafadhali tupe mtonyo wa kufika japan
Mim sijaariwa hapa tz,kwa mfano uko nikitaka kujiajiri mfano kilimo inakuwaje kupata mashamba na je ni kazi made uwe na utaalamu kuhusu kilimo (kusomea kilimo),gharama za vifaa vya kilimo vipo vya kukodi? (Kwa mfano trekta sitakuwa na uwezo wa kununua)Usije na mawazo ya KUAJIRIWA US
Hiyo iwe baada ya option ya kujiajiri kushindikana
Unacho kifanya TZ nje ya kuajiriwa unaweza fanya kwa ubunifu zaidi US
Sikushauri ufikie miji mikubwa kama NYC au LA au Dallas
Njoo huku mashambani mzunguko wa pesa mkubwa sana
Ukijenga credit mikopo bwerere sio kama TZ
It's a Manhole...Lakini hata kama kiraka poa tu, Marekani sio mbinguni kwamba kila kitu ni perfect.Unatetea nini wewe! Kandarasi mchina nini?
Kwani wanaosha vizee bure? Kama wanalipwa si poa tuu. Hili ndio tatizo letu kubwa wabongo, tuko radhi kulala njaa tuu sababu kazi fulani haionekani vizuri machoni mwa watu. Kuosha vizee ni aina ya kazi.Una pesa au ndio maandhali tu ndio furaha kwako hata kama unaosha vizee mavi..
Ndagha fijoUsije na mawazo ya KUAJIRIWA US
Hiyo iwe baada ya option ya kujiajiri kushindikana
Unacho kifanya TZ nje ya kuajiriwa unaweza fanya kwa ubunifu zaidi US
Sikushauri ufikie miji mikubwa kama NYC au LA au Dallas
Njoo huku mashambani mzunguko wa pesa mkubwa sana
Ukijenga credit mikopo bwerere sio kama TZ
Mbona bongo vizee vipo hamuendi kuomba kazi au mpaka viwe rangi nyeupe...! Na hayo mambo ya kusema wabongo wapo radhi kulala na njaa kisa sijui nini Nenda Bongo ndio utajua huo msemo wako ni wapumbavu pekee ndio wanautumia...Kwani wanaosha vizee bure? Kama wanalipwa si poa tuu. Hili ndio tatizo letu kubwa wabongo, tuko radhi kulala njaa tuu sababu kazi fulani haionekani vizuri machoni mwa watu. Kuosha vizee ni aina ya kazi.
hayo ni maoni yako binafsi... ni Sawa na kuniambia Tetemeko halijaletwa na Serikali maoni binafsi.. we vepeeIt's a Manhole...Lakini hata kama kiraka poa tu, Marekani sio mbinguni kwamba kila kitu ni perfect.
Take a chill pill.Mbona bongo vizee vipo hamuendi kuomba kazi au mpaka viwe rangi nyeupe...! Na hayo mambo ya kusema wabongo wapo radhi kulala na njaa kisa sijui nini Nenda Bongo ndio utajua huo msemo wako ni wapumbavu pekee ndio wanautumia...
Na pia nikufahamishe kitu maana unaonesha kiasi una mwili mkubwa lakini hujapevuka au umesoma lakini hujaelimika... Tabia za Binadamu zinafanana kwa wote... hizo kazi usemazo kwa mbongo anaweza kataa ujue ni eneo lake analofahamika haswa yaani Ndugu rafiki wa utotoni n.k ila anaweza fanya mji mwingine kazi hiyo asiyoweza fanya kwake so Mtaifa yeyote ndio hivyo hivyo thats why mjini ndio sehemu wakutanapo watu kutoka sehemu mbali mbali na kazi zote hufanyika maendeleo huonekana... Kuna Wasomi Maengeneer hawataki kushinda Garage na kushika spana, Kuna watu wamesomea uvuvi lakini hawataki shika Nyavu so hiyi ni Tabia za Binadamu siwezi kukuita mpumbavu ila nakuelimisha japo umesoma.
Wewe si una 'makaratasi'?Mim sijaariwa hapa tz,kwa mfano uko nikitaka kujiajiri mfano kilimo inakuwaje kupata mashamba na je ni kazi made uwe na utaalamu kuhusu kilimo (kusomea kilimo),gharama za vifaa vya kilimo vipo vya kukodi? (Kwa mfano trekta sitakuwa na uwezo wa kununua)
Wazo lako ni zuri ata mimi nilifikiria kuanza kuishi nje ya mji (mashambani) nikaambiwa maisha ni rahisi lakin mzunguko wa pesa ni mdogo,na mji mikubwa mzunguko wa pesa mkubwa na matumizi pia makubwa,pesa zote zinaishia kwenye kupay bills hakuna kusave pesa..?
Kalumbu olipo?Ndagha fijo
Okay sio kama nazamia, nimeshinda diversity visa lottery,, nikamilisha process ntakutafutaWewe si una 'makaratasi'?
Una Green Card?
Kama una makaratasi itakuwa rahisi kwako
Njoo hapa tutaongea
Ila kama HAUNA MAKARATASI kutoboa huwezi
Nenda kasome urudi haya masuala ya mtu anaenda kusoma alafu analowea kusaka maisha huko,sasa marekani ya hivo yalikuwaga zamani,kuna watu wamekwama hata kurudi wameshindwa,nenda kasome urudi bongo kula bataNatamani lakini naogopa nisije jutia baadae,naona nifanye research kabla sijaamua, watu wanasema maneno mengi kuhusu Maisha ya marekani
Huko hata ungekua msomi vipi so longer ni wa kuja utafagia barafu tu na kufua,kazi wenzetu wana statistic kbs ,mmarekani kwanza wa kuja badaeHahahah
Nenda kasome urudi haya masuala ya mtu anaenda kusoma alafu analowea kusaka maisha huko,sasa marekani ya hivo yalikuwaga zamani,kuna watu wamekwama hata kurudi wameshindwa,nenda kasome urudi bongo kula bata[/QUO
ndo maana nimeuliza wenyeji wa huko wanipe experience ya huko kabla sijaenda,nijue kabisa naenda kufagia barafu ama vipi?Huko hata ungekua msomi vipi so longer ni wa kuja utafagia barafu tu na kufua,kazi wenzetu wana statistic kbs ,mmarekani kwanza wa kuja badae
we unafikiri watakwambia,jiongeze mwenyewe,bongo maisha matamu mbona kajifunze tu ''kuiba kwa kalamu''ndo maana nimeuliza wenyeji wa huko wanipe experience ya huko kabla sijaenda,nijue kabisa naenda kufagia barafu ama vipi?