nowsasa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,095
- 1,126
Hayo Ya bill Gates, sijuwi silicon valley nk! Hayo mambo makubwa Ya baadae.. Mtu anataka kuchomoka bongo kwanza akapambane huko Sasa Kama ataamua kujiendekeza hilo atajua mwenyewe siku za mbeleni.. Karibu north America kamanda tutakupokea.. Mimi Nipo Canada... Mtoni neema tupu. Matatizo yapo Kama sehemu Ya maisha Ya mwanadam, lakini Siyo matatizo Ya kukosa umeme au mgao usioisha, Mara oh eti inakabiliwa na ukame eti Hakuna mvua... Mabwawa na mito kibao lakini Njaa kila kona, Mara oh dawa hakuna hospitali nk nk.. Mambo hayo Ya kibwege huku kiwanja Hakuna... Tumuunge mkono ndugu yetu anayetafuta Safari..Kama umenisoma tangu nyuma badala ya kudandia mada, ungejuwa kuwa simkatishi tamaa ila nampa moyo.
Ila kama unataka kufanya kazi Facebook au Google au kampuni yote ya Silicon Valley, lazima usome Marekani na kila siku wana recruit doctorates wa kigeni.
Kama ungenisoma, niliandika kama wewe. Marekani si nchi ya mvivu. Kuna kazi kwa kila mtu ila mishahara ya kutisha lazima ujipange. Ya kununua mboga utapata ili ujenge. Ila Bill Gates anataka Ph.D katika mathematics.