Tafadhali Mashabiki ' LiaLia ' wa Liverpool FC tumetosha na tunajuana hivyo hatuhitaji Mashabiki ' Wanafiki ' wapya kuanzia leo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tumeteseka na Mafanikio ya Timu yetu ya Liverpool kwa muda mrefu cha ajabu kwa Msimu huu na hasa baada ya ile ' Magical Comeback ' ya jana Usiku nimepatwa na ' Mshtuko ' baada ya Kuwaona Watu wengi ambao sasa Timu zao zinashika Nafasi za Mtaa wa Tano na wa Sita katika Ligi Kuu ya Uingereza nao wanajifanya ni wana Liverpool FC kama ambavyo GENTAMYCINE mwenye Timu yake hiyo alivyo.

Hatutaki Wageni wapya tafadhali sawa?

Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…