GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tumeteseka na Mafanikio ya Timu yetu ya Liverpool kwa muda mrefu cha ajabu kwa Msimu huu na hasa baada ya ile ' Magical Comeback ' ya jana Usiku nimepatwa na ' Mshtuko ' baada ya Kuwaona Watu wengi ambao sasa Timu zao zinashika Nafasi za Mtaa wa Tano na wa Sita katika Ligi Kuu ya Uingereza nao wanajifanya ni wana Liverpool FC kama ambavyo GENTAMYCINE mwenye Timu yake hiyo alivyo.
Hatutaki Wageni wapya tafadhali sawa?
Nawasilisha.
Hatutaki Wageni wapya tafadhali sawa?
Nawasilisha.