Tafadhali mliowaelewa TCRA na sababu zao walizotoa kuhusu bei za 'Vifurushi' katika Ukurasa wa 3 Gazeti la The Citizen la leo mtueleweshe na wengine

Oyaaa tuma hichi kipande hapa naona taarifa haijakamilika.
 

Yaan hii imeniuma mpk naanza kusahau lkn kweli nahic lbd makampuni ya cm yako juu ya sheria
 
Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo Makampuni ya Simu yanaweza Kupandisha bei za 'Vifurushi' haraka, ila katika Kuvishusha wanachelewa.
Hata kwenye mafuta, nauli, na bidhaa nyingine ni mwendo huo
 
Hizo ndio kodi halali anazozitaka sasa mtulie wembe upite vichwani
 
Haswa haswa Voda hawa jamaa hawa wana kiburi na kutufokea wateja.......dah
 
hakuna kitu hapo na Ndugulile anabinua binua mdomo kama kakoswa koswa na stroke , yaani hatuna vipaumbele kabisa wala hatujui tuendako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…