Tafadhali mliowaelewa TCRA na sababu zao walizotoa kuhusu bei za 'Vifurushi' katika Ukurasa wa 3 Gazeti la The Citizen la leo mtueleweshe na wengine

Tafadhali mliowaelewa TCRA na sababu zao walizotoa kuhusu bei za 'Vifurushi' katika Ukurasa wa 3 Gazeti la The Citizen la leo mtueleweshe na wengine

Kila kukicha tu 'Maajabu' mengi yanagundulika nchini Tanzania na huenda nchi yetu ikawa imebarikiwa Kimaajabu hadi Raia wake ni wa ajabu.

Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo Makampuni ya Simu yanaweza Kupandisha bei za 'Vifurushi' haraka, ila katika Kuvishusha wanachelewa.

TCRA hongereni pia kwa Kuyaogopa (Kuufyata) mbele ya Makampuni ya Simu nchini Tanzania na hasa hasa hawa Wababe wenu Vodacom.

Yaan hii imeniuma mpk naanza kusahau lkn kweli nahic lbd makampuni ya cm yako juu ya sheria
 
Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo Makampuni ya Simu yanaweza Kupandisha bei za 'Vifurushi' haraka, ila katika Kuvishusha wanachelewa.
Hata kwenye mafuta, nauli, na bidhaa nyingine ni mwendo huo
 
hakuna kitu hapo na Ndugulile anabinua binua mdomo kama kakoswa koswa na stroke , yaani hatuna vipaumbele kabisa wala hatujui tuendako
 
Back
Top Bottom