Tafadhali msinikaribishe kwenye group za WhatsApp

Mkuu Pole, yamekukuta?

Sent from my TECNO-N2S using Tapatalk
 
Hivi kwenye magrupu mnachati vinini???
Watu hata hamfahamiani stori zatoka wapiiii. Kagrupu kangu kamoja ka RC kananitosheleza sana, najifunza mengi na kukutana na viongozi wanguu wa dini..
 
Hivi kwenye magrupu mnachati vinini???
Watu hata hamfahamiani stori zatoka wapiiii. Kagrupu kangu kamoja ka RC kananitosheleza sana, najifunza mengi na kukutana na viongozi wanguu wa dini..
Kuna group zinafaida tu,haswa kwa wafanyabiashara na wajasiliamali,kuna group unapata elimu kila siku kwa mafunzo mbali mbali na vitabu
 
Kuna group zinafaida tu,haswa kwa wafanyabiashara na wajasiliamali,kuna group unapata elimu kila siku kwa mafunzo mbali mbali na vitabu
Mimi hilo nilotaja linatosha sana maana limejumuisha ma GT wengi wa kutoka humu na mapadre wengi tu kutoka majimbo mbalimbali
 
Mi niliingizwa kwenye group limenzishwa leo,kesho yake ujumbe unakuja tumchangie mwenzetu kafiwa,nikafikiria nina magroup 5 na yote tunachangiana nikaona sasa ntafilisika ,nimetoka yote limebakia moja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…