Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenena
Msg sent.... And it will delivered soon
Jr[emoji769]
Kuna group zinafaida tu,haswa kwa wafanyabiashara na wajasiliamali,kuna group unapata elimu kila siku kwa mafunzo mbali mbali na vitabuHivi kwenye magrupu mnachati vinini???
Watu hata hamfahamiani stori zatoka wapiiii. Kagrupu kangu kamoja ka RC kananitosheleza sana, najifunza mengi na kukutana na viongozi wanguu wa dini..
Mimi hilo nilotaja linatosha sana maana limejumuisha ma GT wengi wa kutoka humu na mapadre wengi tu kutoka majimbo mbalimbaliKuna group zinafaida tu,haswa kwa wafanyabiashara na wajasiliamali,kuna group unapata elimu kila siku kwa mafunzo mbali mbali na vitabu
Niunge huko hahahaahHivi kwenye magrupu mnachati vinini???
Watu hata hamfahamiani stori zatoka wapiiii. Kagrupu kangu kamoja ka RC kananitosheleza sana, najifunza mengi na kukutana na viongozi wanguu wa dini..
Hakuna hata ka ukoo wenu au wana ndugu?!!!!Hivi kwenye magrupu mnachati vinini???
Watu hata hamfahamiani stori zatoka wapiiii. Kagrupu kangu kamoja ka RC kananitosheleza sana, najifunza mengi na kukutana na viongozi wanguu wa dini..