Tafadhali msinikaribishe kwenye group za WhatsApp

Tafadhali msinikaribishe kwenye group za WhatsApp

Unaogopa ukigoma kuchangia 3,000/= utaondolewa wakati umeshaanza kunogewa na group!!!!😛😛😛😛😛
 
Njoo kwenye grupu langu mama kama wataka kutoka kimaisha fasta
 
Imekuwa kero watu kukutafuta ujiunge na group zao. Please sikuha hapa niijiunge na group lolote.

Kuna wengine yamewatokea haya?
Wanataka mgawane zile mil 15 school fees za watoto wako hivi ni Braeburn ama Baeburn
 
mimi sifanyi mambo hayo mawili, sipo group lolote la wasap, pili sitoi mchango wa harusi.
 
Back
Top Bottom