GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kila nikikumbuka Yule aliyekuwa Kiongozi wa Malori kama si Mabasi ya Mikoani alipotoa Kauli fulani ya 'Kibabe' na Siku Mbili baadae akaugua ghafla na Kufa ndiyo napatwa pia na Hofu juu ya huyu Mama aliyesikika katika Taarifa ya Magic FM na Kipindi chao cha Morning Magic kwa Kujiamini kabisa kuwa anamjua aliyechoma Moto Soko la Karume kuwa ni Joseph ( Jose ) na Wenzake.
Tafadhali huyu Mama alindwe kwani kuna ambayo GENTAMYCINE naanza kuyasikia yakiandaliwa dhidi yake ili asikwamishe Mipango ya Mstaafu kujenga Shopping Malls zake nchini.
Tafadhali huyu Mama alindwe kwani kuna ambayo GENTAMYCINE naanza kuyasikia yakiandaliwa dhidi yake ili asikwamishe Mipango ya Mstaafu kujenga Shopping Malls zake nchini.