GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kila nikikumbuka Yule aliyekuwa Kiongozi wa Malori kama si Mabasi ya Mikoani alipotoa Kauli fulani ya 'Kibabe' na Siku Mbili baadae akaugua ghafla na Kufa ndiyo napatwa pia na Hofu juu ya huyu Mama aliyesikika katika Taarifa ya Magic FM na Kipindi chao cha Morning Magic kwa Kujiamini kabisa kuwa anamjua aliyechoma Moto Soko la Karume kuwa ni Joseph ( Jose ) na Wenzake.
Tafadhali huyu Mama alindwe kwani kuna ambayo GENTAMYCINE naanza kuyasikia yakiandaliwa dhidi yake ili asikwamishe Mipango ya Mstaafu kujenga Shopping Malls zake nchini.
Tena sebuleniutasikia kagongwa gari nyumbni kwake
Hiyo ndiyo habari ya mjini. Ukitilia umhimu mtoto wa mstaafu ndiye Anjelina Mabula wa wakati huoKwa hiyo kuna mpango wa kuwaingiza kingi chinga ili mstaafu amilikishwe ajenge shopping malls? wanyonge watapata taabu sana awamu hii......
Huyu jamaa ana damu ya kunguni...., yaani mabaya yote, ufisadi wote na kila deal ya ajabu ajabu ni yeye anafanya..., ingawa simtetei lakini common sense inaniambia kuna sehemu anabebeshwa mizigo sio yake...Hiyo ndiyo habari ya mjini. Ukitilia umhimu mtoto wa mstaafu ndiye Anjelina Mabula wa wakati huo
Sio mteja, ni TEJA,,, Yaani mvuta bange, homelessHuyo Joseph ndio mteja wa mihadarati? Au.
Safari hii watu watapiga kazi tu na itaonekana hawataangalia maneno ya mtandaoni tenaHuyu jamaa ana damu ya kunguni...., yaani mabaya yote, ufisadi wote na kila deal ya ajabu ajabu ni yeye anafanya..., ingawa simtetei lakini common sense inaniambia kuna sehemu anabebeshwa mizigo sio yake...
Anyway ningekuwa yeye ningemshauri its too soon kupata wadhifa kama huu, hususan kwenye sekta ngumu kama hii unless otherwise kweli ni mpigaji ila upigaji huu hauwezi kuwa sustainable zaidi ya kuendelea kumletea chuki
Wataanza lini kupiga hizo kazi ?, Sababu kama ni marathon imeanza saa moja asubuhi wewe mpaka saa tatu umelala na inaisha saa tano basi utahitaji kufanya kazi ya ziada ili kuweza kumaliza kwa wakati...,Safari hii watu watapiga kazi tu na itaonekana hawataangalia maneno ya mtandaoni tena